Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe.
Mpaka sasa sijasikia mgombea yeyote aliyepita bila kupingwa, wala sijasikia Wagombea waliotekwa , kupigwa ama kuporwa fomu, wala...