Naomba kueleza matatizo tunayoyapata sisi tuliopeleka wagonjwa wetu muhimbili kutibiwa. Ni shida tena mateso kuja kumuona mgonjwa wako wodini walinzi na wahusika wamefanya dili kutengeneza pesa ukitaka kumuona mgonjwa wako utaruhusiwa ila utatoa chochote na wengine hawaruhusiwi kabisa, watakaa...