wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ninavyosaidia brand za afya kupata wagonjwa wengi na mauzo zaidi kupitia victoria agency

    NINAVYOSAIDIA BRAND ZA AFYA KUPATA WAGONJWA WENGI NA MAUZO ZAIDI KUPITIA VICTORIA AGENCY. Unajua changamoto kubwa ya biashara za afya? Dawa nyingi za asili Herbal medicine zinasaidia sana watu wengi wanapona kwa gharama ndogo sana. Nimefanya kazi na brand za afya, Ila 👇👇 Unakuta mtoa...
  2. JamiiForums Tanzania Wakujiita manabii si wakutane wote pamoja wakusanye 50% ya mapato yao wasaidie masikini, waingie kila hospitali wawatafute wagonjwa mahututi wawaponye

    Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO! YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Bugando Hospitali mjitafakari wagonjwa kufia mikononi mwenu

    Ndugu zangu, hapa Mwanza tuna hospitali ya kanda ya Bugando ambayo lengo la uwepo wake ni kuokoamaisha ya Watanzania wa mikoa ya kanda ya Ziwa na mikoa jirani. Hospitali hii inaaminika kwakua inao watumishi waliobobea kwenye kada zote, na wapo madaktari bingwa kwenye hospitali hii. Cha...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zaidi ya wagonjwa 450 wapatiwa huduma upasuaji wa macho bure Arusha

    Zaidi ya wananchi 450 kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha wamepata huduma ya upasuaji wa Mtoto wa Jicho (cataract) bure, kupitia kampeni ya afya iliyoendeshwa na Madaktari Bingwa na Wabobezi kutoka nchini Hispania. Huduma hiyo, iliyolenga kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia azindua gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali na wadau Wana muongozo Gani juu wagonjwa na watu wa namna hii?

    Kuna familia ipo jirani na Mimi,ni familia duni Kwa kweli, mke na mume walikuwa watu wa vibarua vibarua TU Sasa limetokea tatizo Baba amepata stroke, mwili umepooza ni mwaka wa nne huu , akiwa hapo hapo kitandani akapata tena shida ya macho na Sasa macho hayaoni mke ndo anamuuguza Kwa maisha...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu spika: Bado gharama za matibabu zinawasumbua wananchi, ataka madaktari na watumishi kuwa na utu

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa wito kwa madaktari na wauguzi kote nchini kuwa na utu wanapowahudumia wagonjwa, hususan wale wanaoshindwa kulipia gharama za matibabu kwa wakati. Akizungumza bungeni leo Alhamisi Aprili 17, 2025 wakati wa kipindi cha...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Utafiti unaonesha Wagonjwa wengi wa Ocean Road wanatokea Kanda ya Kaskazini si Kanda ya Ziwa

    Akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge Joseph Michael Mkundi Bungeni leo Aprili 14, 2025 aliyehoji “Takwimu zinaonesha Wagonjwa wengi wa Saratani waliopo katika Taasisi ya Ocean Road wanatokea Kanda ya Ziwa, kwa nini Serikali isiboreshe Hospitali ya Rufaa ya Bugando Kitengo cha Saratani ili...
  9. JamiiForums Tanzania Mwana Simba SC anayeamini kabisa kuwa Simba SC ya Jana Misri itaifunga Al Masry Goli 3 na Kufuzu CAFCCSF awahi sasa Hospitali ya Wendawazimu akatibiwe

    Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao...
  10. JamiiForums Tanzania Kelele za Wagonjwa: Kwanini Bima ya Afya (NHIF) Inashindwa?

    Katika hali ya kusikitisha, leo tumeshuhudia matatizo makubwa yanayotokana na kukosekana kwa huduma za afya nchini. Bima ya Afya makao makuu inapaswa kutoa kinga kwa wagonjwa, lakini ukweli ni kwamba hali ni tofauti kabisa. Wagonjwa wanakabiliwa na changamoto kubwa: hakuna mtandao, huduma...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi achangisha sh. 950 milioni kwa matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo

    BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 950 MILIONI KWA MATIBABU YA WAGONJWA WA MGUU KIFUNDO KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto wapatao 400 wanaougua ugonjwa wa mguu kifundo. Kiasi...
  12. JamiiForums Tanzania Tutarajie ongezeko la wagonjwa wa kisukari na pressure

    Kwa kile walichofanywa na LBL na FIC. Mjiandae kuuguza wagonjwa wa kisukari na pressure. Ukiitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe. Poleni.
  13. JamiiForums Tanzania Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Wagonjwa 6,847 Watibiwa Hospitali ya Wilaya ya Handeni

    WAGONJWA 6,847 WATIBIWA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema wagonjwa wapatao 6,846 wamepata huduma za Afya Katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni tangu ilipokamilika na kuanza kutoa huduma. Waziri...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi haya maduka ya dawa pembeni ya hospitali yanayotesa wagonjwa ni ya nani?

    Nakumbuka J.P.Magufuli alipiga marufuku haya maduka naona yanazidi kuongezeka anyway sio mbaya. Mbaya ni malalamiko yanayoendelea hosptitali Dk anaandika dawa anakwambia nenda pharmacy. Unaenda wanakupa dawa mbili, 4 anakwambia nenda nje kuna duka linaitwa xxx pharmacy utazipata hapo Swali ni...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji kauli ya serikali kuhusu wanawake wanaokosa vifaa vya kujifungulia, Naibu waziri asema huduma kwanza na si kuulizwa pesa

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa hospitali zote za umma na binafsi zinapaswa kuwahudumia wajawazito na wagonjwa wa dharura bila masharti ya malipo ya awali. Ametoa kauli hiyo bungeni Ijumaa, Januari 31, 2025, akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest...
  17. JamiiForums Tanzania RC Chongolo akabidhi gari la Wagonjwa, apongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Momba

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
  18. JamiiForums Tanzania MOI: Mkitembelea Wagonjwa waleteeni Vyakula vya kuongeza damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini

    Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye kuongeza damu kutokana na mahitaji makubwa ya damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini...
  19. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

    Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
  20. L

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya watoa huduma ya afya kuvujisha siri za wagonjwa

    Nawasalimu waungana wote Kuna Jambo nilikuwa nataka tujadili kidogo, nimeshalishuhudia zaidi ya mara 5 katika maeneo na mikoa tofauti. Unakuta Vijana mtaani wote wanajua kuwa demu Fulani na Fulani Wana HIV positive na ukiwauliza Wana kumbia taarifa zote tumezipata kwa dokta Fulani, yaani kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…