wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ugonjwa wa akili tishio nchini, wagonjwa 30-70 wanapokelewa Mirembe kila siku

    Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku. Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na...
  2. Prof. Janabi apiga marufuku wagonjwa kusukumwa kwenye vitanda Muhimbili

    Ameagiza miili ya marehemu kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti kwa gari la wagonjwa (Ambulance), badala ya utaratibu uliokuwepo wa kusukuma vitanda ili kutoa heshima kwa marehemu kwa njia hiyo. Prof. Mohammed Janabi aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
  3. Tafiti: Wagonjwa wa moyo nchini waongezeka kutoka 60 hadi 500 kwa siku

    Wataalam wa moyo wamesema magonjwa ya moyo yanazidi kuongezeka Nchini huku imani potofu zikiendelea kusambaa kuhusu tiba ya magonjwa hayo. Mkurugenzi wa Tiba katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Tatizo Waane amesema awali walikuwa wakipokea wagonjwa 50 hadi 60, lakini hivi...
  4. Congo DR yatangaza kumalizika kwa wagonjwa wa Ebola

    Waziri wa Afya Jean-Jacques Mbungani Mbanda amesema Serikali imejiridhisha ikiwa ni baada ya siku 42 za ufuatiliaji ulioimarishwa bila kuwepo kwa mgonjwa mpya aliyebainika kukumbwa na janga la Ebola. Ebola iliripotiwa kurejea tena Agosti 22, 2022 baada ya Virusi hivyo kugundulika katika mji wa...
  5. Ebola yazidi kusambaa kwa kasi Uganda, vifo vyafikia 19

    Kwa mujibu Wizara ya Afya, hadi kufikia Septemba 24, 2022, jumla ya wagonjwa 31 waligundulika kuambukizwa na wengine wakihisiwa kuwa na maambukizi hayo, ikiwa ni ongezeko la haraka kutoka visa 7 vilivyoripotiwa Sept. 23,2022. Wizara hiyo pia imesema jumla ya vifo vilivyothibitishwa na...
  6. Uganda yatangaza wagonjwa wengine 6 wa Ebola

    Wizara ya Afya ya #Uganda imethibitisha maambukizi mapya ya Ugonjwa wa Ebola baada ya kulipuka kwa ugonjwa huo na kuua mtu moja mwenye umri wa miaka 24, mwanzoni mwa wiki hii eneo la Mubende. Aidha, mamlaka inafuatilia vifo vya watu wengine saba kikiwemo cha mtoto wa mwaka mmoja kujua kama...
  7. MOI inapokea wagonjwa watatu wa Kiharusi kila siku

    Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema kila siku inapokea wagonjwa watatu wenye tatizo la kiharusi (stroke). Hayo yameelezwa leo Septemba 20 na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Laurent Mchome katika kambi maalumu ya upasuaji wagonjwa 12 wenye matatizo ya uvimbe kwenye ubongo na matatizo...
  8. Kenya: Mfumo wa Bima ya NHIF waharibika, wagonjwa wakwama hospitaini

    Wagonjwa waliopo katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na vituo vya afya Jijini Nairobi Nchini #Kenya wamekwama kwa siku mbili kutokana na mfumo wa mtandaoni wa Bima ya Afya wa NHIF kukwama kwa kugoma kupokea malipo ya mtandaoni. #NHIF wametaja sababu ya kukwama kuwa ni kutokana na mfumo wa...
  9. Serikali ya Tanzania yasema kuna visa 519 vya kipindupindu, kati yao wagonjwa 11 wamefariki mwaka 2022

    Takwimu za Wagonjwa wa Kipindupindu Nchini Tanzania kuanzia Januari 2022 hadi Agosti 2022 ni visa 519 ambapo kati yao 11 wamefariki Dunia, Mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma ikitajwa kutoa wagonjwa wengi. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri kusimamia...
  10. Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri yaziomba taasisi nyingine kujitoa kuchangia damu ili kusaidia wagonjwa wenye mahitaji

    Na. Mwandishi Wetu, Dar Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri kimeomboleza kifo cha Mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein (AS) aliyeuawa kikatili huko mji wa Kerbala nchini Iraq na Jeshi la Yazid. Ambapo umeunga mkono uchangiaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama , Kampeni ya Kuhamasisha...
  11. M

    Nimewatizama Kiumakini leo Kipa Manula na Beki Kapombe na kugundua kuwa Mechi ya Derby hawakuwa Wagonjwa bali ni miongoni mwa Wasaliti 9 Simba SC

    Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo..... 1. Mjumbe Mulamu Ng'ambi 2. Mratibu Abbas Suleiman 3. Kocha Msaidizi Selemani Matola 4. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC...
  12. Ghana yachunguza tukio la Tiktoker aliyetishia kuua wagonjwa

    Baraza la Uuguzi na Ukunga nchini humo, limetangaza kumchunguza Mtengeneza Maudhui wa mtandao wa TikTok, anayedaiwa kuwa Mwanafunzi wa Uuguzi baada ya kuchapisha video inayodaiwa kutishia kuua wagonjwa Katika video hiyo, alionekana akiwa amevalia sare za shule ya Uuguzi na kudai atamuua mgonjwa...
  13. J

    NHIF yasema baadhi ya hospitali huwaandikia wagonjwa wenye bima dawa zisizo sahihi. Hii ni hatari kwa afya, ni sawa na kuwanywesha sumu

    Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mh. Konga amesema taasisi yake imebaini madaktari wanawaandikia wagonjwa dawa zisizo sahihi na huu ni uhujumu uchumi. Konga amesema mtu anapokunywa dawa isiyostahili anakuwa amekunywa sumu hivyo hospital zinazofanya mchezo huu zitashughulikiwa na...
  14. 70% ya wagonjwa wa ajali za barabarani waliopo MOI (Muhimbili) chanzo ni bodaboda

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...
  15. Kivu, DRC: Wagonjwa wachomwa moto hadi kufa wakiwa Zahanati

    Umoja wa Mataifa umesema watu 20 wameuawa na makumi ya wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yanayoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC) wakiwemo wagonjwa 4 walioteketezwa wakiwa hai katika zahanati ya kanisa katika jimbo la Kivu Kaskazini Hadi hivi sasa Wapiganaji wa...
  16. Tanzania ina wagonjwa wa Sikoseli 200,000, ambapo watu 5 mpaka 7 kati ya 100 (chini ya miaka mitano) hufariki

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imeingiza ugonjwa wa Sikoseli katika mpango mkakati wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ili kuweza kupambana nao na kuhakikisha huduma za vipimo na matibabu zinapatikana katika vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi. Hayo yamesemwa leo na Naibu...
  17. Sababu ya Pwani, Kanda ya Ziwa kuwa na Wagonjwa Wengi Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Takwimu za Dunia za mwaka 2018 za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha Wanawake zaidi ya 570,000 waligundulika kuwa na Saratani ya Shingo ya Kizazi, Kwa mujibu wa tovuti ya cancer.net ni kuwa kwa mwaka 2020 kulikuwa na Wanawake 604,127 ambayo walikuwa wameathiriwa na ugonjwa huo. Kwa...
  18. Dawa ya majaribio yaleta ahueni kwa wagonjwa wa Saratani

    Kwa mujibu wa Utafiti uliochapishwa katika Jarida la "The New England Journal of Medicine", Wagonjwa 12 waliotumia Dawa ya Majaribio ya Dostarlimab kwa kipindi cha miezi 6 walionekana kupata nafuu. Jaribio hilo dogo limefanyika Nchini Marekani Kwa mujibu wa Dkt. Luis Diaz, hii ni mara ya kwanza...
  19. MONKEYPOX: Nigeria yaripoti kifo, idadi ya wagonjwa yafikia 21

    Nigeria imetangaza kuwa na visa 21 vya Ugonjwa wa MonkeyPox katika majimbo 9, ambapo mtu mmoja amefariki Dunia, ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Nigeria (NCDC). NCDC katika ripoti yake imeeleza kuwa Taifa hilo limekuwa likiripoti visa hivyo tangu Januari 2022...
  20. Wagonjwa wenye VVU ambao waendi kuchukua dawa Kliniki kufuatwa nyumba kwa nyumba

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Seleman Msumi amesema halmashauri imeunda kamati maalum kwa ajili ya kuwafuatilia wagonjwa wenye maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) ambao wameacha kutumia dawa za kufumbaza virusi hivyo. Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani amefafanua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…