waislamu tuko nyuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake washika dini Waislamu hawana Sigda kama wanaume?

    Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda. Huu utofauti unachangiwa na nini?
  2. JamiiForums Tanzania Sheikh: Waislamu tuko nyuma sana, hakuna Askofu anapanda bodaboda, ukitembea kwa mguu wanasema Sunah

    Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…