Binadamu Kila kukicha ni kutafuta pesa tu! Uhai autafutwi, kwani kuishi ni bahati tu bali kufa ni lazima, iwe unapenda au haupendi utakufa tu! Hakuna mwenye uhalali wa kuishi milele hapa duniani Kila mtu ni marehemu mtarajiwa.
Pesa ndio Kila kitu humu duniani ISIPOKUWA UHAI TU! Hata uwe...
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo...
Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.
Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
Nisikuchoshe
Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki?
Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati?
Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni...
TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC
Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
africa
baada
barua
east africa
fundisho
katika
kikatili
kutoka
kuwasaidia
lazima
m23
maisha
mbona
ndani
raia
tanzania
tpdf
vijana
visasi
vita
wajinga
wako
wanafiki
Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge
Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .
Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana !
Msafara wake ni mara 2 ya msafara...
Waziri wa masuala ya kigeni nchini Henry Oryem Okello amesema kwamba waganda wanaokufa njaa ni wajinga miezi kadhaa baada ya baadhi ya maeneo kukumbwa na njaa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, umasikini na ukosefu wa usalama miongoni mwa sababu nyengine.
Akizungumza na runinga ya NTV...
Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala.
So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
Kuna vukundi vya wahuni wachache wao wakisikia hela wanatetemeka na kugeuka kuwa mashetani.
Nimesoma sehemu mbalimbali madogo wakilalamikia kupewa buku 20, msiwe wajinga waonyesheni hamjaenda kunyonyesha watoto maziwa kama wanavyowachukulia.
Muwe pamoja, onyesheni umoja kama mnamechi...
Ndugu zanguni, nataka mjue kuwa kwa sasa napitia kipindi kizito sana. Nimesharudi ofisini mara kadhaa kumuomba boss msamaha ili nirudi kwenye system pasi na mafanikio
Nilifanya kosa gani?
Wiki mbili nyuma ilikuwa ni siku ya Birthday yangu, hivyo nikaandaa party kubwa sana kwa ofisi na...
Habari wadau.
Hajua kuna watu wengi wanaamini wapo waganga wa kienyeji wa ukweli.
Uhalisia waganga wa kienyeji wote ni matapeli. zama hizi za information era. ukienda kwa mganga wewe ni mjinga
https://www.youtube.com/watch?v=3fk5Jq5sHhs&t=361s
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.
Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.
Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji...
Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi.
Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu.
Hata humu JF sijaona sehemu...
Moja kwa moja kwenye mada.
Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.
Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika...
Nimekuwa natafakari tambo na uongo wa viongozi wajuu wa CCM dhidi ya CHADEMA. Mpaka wachambuzi nguli kama Pascal Mayalla wamediriki kutamka kuwa CDM haijawa tayari kukabidhiwa nchi.
Nimejiuliza kipindi cha kugombea uhuru, TANU ilikuwa na watu wachache mno lakini wasomi ndo walikuwa haba...
Habari wadau.
Nazani wengi tumeona trending za msanii wa kike Ruby.
Binafsi najua ruby amekosea ila kuna kitu nimekigundua na kumuelewa ruby.
Historia ya maisha ya ruby tu imempa hasira hasira.
Mtoto alielelewa kwa upendo wa baba na mama ana tofauti na mtoto alielelewa kwenye familia isiyo...
Je hili ndio Taifa la wajinga lililotabiriwa mwaka 1977 wakati walipoanzisha sera ya Elimu ya Universal Primary Education UPE?
Katika sera ya nchi ya kutoa elimu kwa wote. Serikali ilipanga kutoa elimu kwa watanzania wote bila ubaguzi wowote. Serikali ilikuja na mpango elimu ya msingi iwe ni...
MWEKEZAJI: HAUWEZI KUNUNUA BANDARI, TUTAKUWA WAJINGA KUKATAA UWEKEZAJI HUU
Nazir Karamagi, mmoja wa watu ambaye ametajwa muda mrefu kuwa mmiliki wa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Bandarini (TICTS), iliyokuwa ikifanya kazi ya kupakia na kupakua makontena ya mizigo katika Bandari ya...
Za asubuhi wakubwa na wadogo,
Mimi jamani humu ndani nishaongea sana kuhusu Mambo ya Imani, mambo ya dini, mambo ya kishirikina, mambo ya uchawi na mengineyo. Jamani ifike muda wabongo tubadilike. Tunaachwa nyuma sana, maendeleo yanaanza kifikra afu ndo ki fedha. Kama akili hazipo sawa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.