wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Je, wajua kwamba "out" za Zanzibar ni rahisi kuliko Bara?

    Kwa msiofahamu hapa Zanzibar bar hazijatapakaa mitaani kama huko bara. Vileo vinauzwa kwenye kambi za jeshi na kwenye mesi za polisi. Mitaani hutaona bia. Huku Zanzibar hakuna pahala wanaouza kitimoto. Na pia hakuna guest house. Sasa basi, wakati huko bara, asilimia kubwa ya appointments huwa...
  2. Analogia Malenga

    Je wajua, Turkmenistan inaruhusu magari meupe tu?

    Rais wa pili wa Turkmenistan, Gurbanguly Berdimuhamedow aliyetawala nchi hiyo tangu 2006 hadi 2022 aliamrisha watu kuagiza magari meupe tu na sio ya rangi nyingine. Nchi hii iko Asia ya kati (Central Asia) Rangi nyingine zilizuiwa bila kutoa sababu huku maafisa wa forodha wakisema kuwa rangi...
  3. DR Mambo Jambo

    Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  4. Girland

    Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

    Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote! ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu...
  5. R

    Je, wajua kuwa Tanzania ndio imeibeba Dunia?

    Salaam, Shalom. Tanzania kuibeba Dunia, Hilo tu tayari ni HOJA fikirishi. Kabla sijaenda ninakotaka kuelezea, ZIFUATAZO, ni sifa za Nchi hii ambazo, huwezi kuzipata Mahali pengine popote duniani katika macho ya kibinadamu katika Ulimwengu wa mwili. 1. AMANI Pamoja na Nchi hii kuwa na makabila...
  6. R

    Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

    Salaam / Shalom!! INTRODUCTON. (Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9). NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho. Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu. Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao...
  7. Ngungenge

    Wajue Askari wa Mwamavuli wa Rais Samia

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha Watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni: 1. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU. 2. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama. 3. Na Paul Makonda- Chuma Mwenezi wa Chama na Mzee wa kujitoa...
  8. JamiiCheck

    Je, wajua uhakiki wa taarifa huchochea uwajibikaji?

    Uhakiki wa Taarifa hudumisha uwazi, kujenga imani kwa jamii, kukomesha upotoshaji pia kuwepo kwa taarifa sahihi katika jamii itaifanya jamii iweze kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo sahihi. Kuchochea uwajibikaji- Uhakiki wa taarifa utachochea makundi mengi kuwajibika kwani watakosa fursa ya...
  9. Mpinzire

    Je! Wajua kuwa Palestina haijapata uhuru mpaka leo?

    Ndiyo, licha ya kwamba Palestina ilitawaliwa na auingereza tangia mwaka 1920 baada ya kukabidhiwa na shirikisho la umoja wa mataifa (League of Nations) baada ya vita ya kwanza ya Dunia ila bado Palestina haijapata uhuru mpaka leo. League of Nations ilipitisha Azimio la kuiweka Palestina toka...
  10. Venus Star

    Je wajua? 60% ya High-Speed train duniani zipo China

    BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE. Ninaendelea kutoa taarifa za kiuchunguzi za kina kuhusu dunia yetu hii. Kwa muda wa wiki mbili nilikuwa katika utafiti kuhusu High-Speed Train. High-Speed Train ni nini? Hii ni train inayokimbia kwa mwendo wa kuanzia 200 km/h (124 mph). Train ikiwa na mwendo huu...
  11. S

    Je, wajua kuwa Rooney ni mdogo kuliko Ronaldo? Hapa kuna somo kuhusu umri na uzee

    Uzee ni nini? Na unasababishwa na nini?
  12. Mjukuu wa kigogo

    Je, wajua umaarufu wa Mlima Ararat ni wa kipekee kabisa?

    Umaarufu wa mlima Ararat ulio mpakani mwa Armenia, Uturuki na Iran unatokana na kwamba bada ya Gharika kuu kuisha, safina ilienda kutua katika mlima huu!
  13. William Mshumbusi

    Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  14. Mr Lukwaro

    Je wajua kuhusu hasara za kunywa Juice nyingi?

    Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia kijinini nadhani tunaelewana ,Hasa ile misimu ya Maembe , Huwa tunayafakamia then tunaenda kucheza sasa...
  15. Pascal Mayalla

    Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu...
  16. Doctor MD

    Je wajua mzunguko mzuri wa damu huleta afya Bora ya uzazi?

    Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu 1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo) 2. Saikolojia ya mtu 3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
  17. Mributz

    Je, Wajua jinsi ya kufuta email za matangazo kwenye g- mail yako?

    Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako. Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi Ingia kwenye G-mail yako alafu juu kabisa sehemu ya ''search'' andika neno unsubscribe ukishaandika, bonyeza kitufe...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je wajua Nyimbo za taifa za nchi hizi, hazina maneno?

    Spain, San Marino, Kosovo, na Bosnia and Herzegovina. Watakuja mbumbumbu na kuanza kusema chai
  19. aron lissu

    Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    Habari ndugu Jf mebers, leo napenda kushare jambo ambalo wengi pengine hawalijui kuhusu fidia za bima kwa abiria wa mabasi. Ipo hivi, kama ilivyo Sheria ya Tanzania ni lazima chombo cha moto kiwe na bima, hivyo mabasi yote hukata bima na kampuni za bima huwa wanacharge kiasi cha malipo...
  20. Pascal Mayalla

    Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa critical thinking, kama wewe sio critical thinker, nakushauri pita mbali na bandiko hili. Angalizo la Uzalendo Haya ni maswali critical, yanayotokana na critical thinking na critical analysis kwa lengo la kuwaelimisha Watanzania some complex...
Back
Top Bottom