Ilichukua mamia ya maelfu ya miaka kwa idadi ya watu duniani kukua hadi bilioni 1, kisha katika miaka 200 tu au zaidi, iliongezeka mara saba. Mnamo 2011, idadi ya watu Ulimwenguni ilifikia bilioni 7, ilikuwa karibu bilioni 7.9 mnamo 2021, na inatarajiwa kukua hadi karibu bilioni 8.5 mnamo 2030...
Kwann kulikua na jua wakati ni usku? ili ndo swali wengi wamejiuliza.
Jibu ni hili
Watu wanaoishi katika eneo la North Pole, au karibu na eneo hilo, wanakabiliwa na hali ya kipekee inayoitwa "Msimu wa Mvua". Wakati wa msimu wa joto, ambao ni takriban miezi sita kutoka Machi hadi Septemba...
Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha somo kinavosema....
Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA NA KUZOEA.
Kauli hii aliitoa alipokua ana shoot film ya Royal tour akiwa maeneo ya Tegeta...
Mwaka 2018, Somalia ilipiga marufuku kampuni ya bandari ya Dubai DP World kufanya kazi nchini Somalia, ikisema kuwa mkataba ambao kampuni hiyo ilitia saini mwaka 2017 na eneo lililojitenga la Somaliland ili kuendeleza eneo la kiuchumi ni batili na hautekelezeki
Bila kueleza kwa undani, Bunge la...
Hospitali kubwa ya wagonjwa wenye changamoyo ya akili iliyopo mjini Dodoma inaitwa Mirembe. Mkurugenzi wake amesema iliitwa Mirembe kutokana na miongoni mwa wagonjwa wake wa kwanza aliiitwa Mirembe, alienda Dodoma mwaka 1927 akitokea kanda ya ziwa kumfata mganga maarufu wa wakati huo aliyekuwa...
Wanabodi
Anzia hapa
Mkuu Freed Freed , kwanza asante kwa bandiko hili.
Wanabodi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa, yaani Happy Birthday yangu, lakini pia leo ni birthday ya last born wangu ambae nae ameitwa Pasco jnr, au PiiJei, yeye alizaliwa tarehe kama ya leo last year na niliposti humu...
Kama ulidhani Baridi kali inatumika kuhifadhi Bidhaa pekee ili zikae muda mrefu bila kuharibika, fikiria upya. Teknolojia mpya iitwayo 'Cryonics' imeanza kujipatia umaarufu kwa kutunza Miili ya Watu waliofariki huku wakiwa na matumaini ya kufufuliwa siku zijazo.
Gharama za kugandisha Kichwa...
Habari,
Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako.
Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu.
Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
adobe
app
apps
audio
biashara
dar
dar es salaam
free
graphics
je wajua
kazi
key
kitabu
kusikiliza
kusoma
mechanical
microsoft
microsoft office
office
pro
professional
software
speech
unatafuta
wajua
windows
windows 10
yako
Wanabodi,
Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo.
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali kuwa
Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...
-Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia.
◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Andiko hili lamfaa kila mtu. Lugha iliyotumika ni laini. Sio Kali kama nilivyozoea Kwa mada zangu nyingi.
Kisayansi Miti ni moja ya viumbe hai muhimu katika Ecosystem (kutegemeana Kwa viumbe hai n mfu ili kufanya Maisha yaendelee katika...
Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki lenye Waumini zaidi ya Bilioni 1.3 alisaini Barua ya Kujiuzulu baada tu ya kuteuliwa kushika Wadhifa huo na inasubiri tu augue kiasi cha kushindwa kutekeleza Majukumu yake ili aondoke Madarakani.
Papa Francis aliyetimiza miaka 86 Desemba 17, 2022 aliikabidhi...
Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe.
Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha...
Machi 20, 1966 miezi 4 kabla ya Michuano, Kombe la Dunia liliibwa na kugunduliwa na mbwa wa upelelezi aitwaye Pickles siku 7 baadaye likiwa limefungwa kwenye gazeti huko London.
Desemba 19, 1983 liliibwa tena na kusababisha Wanaume 4 kuhukumiwa kwa wizi bila ushahidi na Kombe hilo halijawahi...
Habari za muda huu?
Najua mko wazima kabisa! Wale mnaoumwa Mungu awajalie mrudi kwenye hali zenu za kawaida.
Kumekuwa na hii imani kuhusu Virusi Vya UKIMWI watu wanatumia isivyo vipimo vya VVU(HIV SD BIOLINE au OraQuick HIV test) kama namna moja ya kijikinga ya haya maradhi. Watu wamekuwa...
Ushasikia mtu anasema 'niko fiti kalikiti'? Ni kosa la kimatamshi tu limetoka kwenye neno la kiingereza 'Physically Fit'
Wakati unaendelea kushangaa nakuonesha maneno mengine ya kiingereza kwenye michezo. Unajua Marede, mtu akiwa tayari anasema Rede, neno la kiingereza 'Ready'
Si unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.