Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine.
Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu anatumia nokia ya tochi akawa anachati an anaandika msg ukasikia jinsi zile button...
Tembea upande wa kulia wa barabara,
ili uweze kuyaona vizuri na kupishana na magari yanayotoka unakoelekea na iwe pembeni sana iwezekanavyo.
Upande utakaotembea itakusaidia wewe kuliona gari vizuri au vyombo vingine vya usafirikama vile pikipiki, bajaji na kuweza kukuepushia na madhara...
Hello 👋👋, habari za mida.
Leo nataka niwafahamishe kitu ambacho wengi hawakujui juu ya uumbaji. Bila shaka wengi wetu tunaelewa kuwa Binadamuu wa kwanza katika uumbaji wa mwenyezi MUNGU alikua ni ADAM akafatiwa HAWA kama msaidizi wake katika bustani ya Eden.
Hyo yote n kwa sababu ya maandiko...
Kawaida Benki Kuu Duniani huwa zinamilikiwa na Serikali za nchi husika zikiratibu sera mbalimbali za kifedha ikiwemo kudhibiti kiwango cha fedha kinachoingia kwenye mzunguko na kuzisimamia benki binafsi zilizopo kwenye nchi husika. Benki kuu huwa zina nafasi ya kipekee kuimarisha uchumi wa nchi...
Je, wajua hapa Tanzania kuna baadhi ya mikoa ukiwa mstaarabu sana kutoboa kwako itakuwa ngumu sana au mwenendo mzima katika harakati zako za maisha katika utafutaji itakuwia ngumu sana. Bila kuwa mbabe na kuwa kauli za hovyo sehemu hizo utakimbia mwenyewe.
Mfano Geita maeneo yote yaliyozungukwa...
JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"?
Anaandika, Robert Heriel.
Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na kujiita "Robert" jina ambalo linamaana kubwa Sana hasa Kwa upande wa mtu anayetaka kuwa mkubwa...
Wanabodi,
Karibu Makala yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" Jumapili ya Leo
Hii ni makala mwendelezo ilianzia hapa Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha?
Kama kawaida yangu, kila Jumapili, huibuka na...
Mtandao maarufu wa habari nchini Marekani ujulikanao kama the Grio umetambua juhudi za Rais Samia Suluhu,katika kuiongoza vyema sekta ya utalii na uhifadhi nchini, hivyo kuifanya Tanzania kuwa kivutio cha kwanza cha utalii katika Bara la Afrika kwa mwaka 2022
=========
Direct flight from...
Wana Jf
Nimefanya sana harakati za kilimo chenye tija ili kuinua pato la taifa pamoja nami mwenyewe kupata fedha za kujikimu.
Nilichokutana nacho ni kile buraha buraha za vijana wa benk wasio na ujuzi wowowte kuhusu kilimo.
Katika kilimo kuna mazao ya muda mrefu kama michikichi, embe...
Nyerere alicheza Msondo, wewe nani usicheze?
Miaka 56 iliyopita, nazungumzia mwaka 1964, bendi mbili kubwa za Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, zilipiga dansi maalumu la kuchangia chama cha TANU.
Bendi hizo ni NUTA Jazz, Msondo Ngoma ambao mpaka sasa bado wapo katika ulimwengu wa muziki...
Ikiwa baadhi ya maeneo baadhi ya watu wamekuwa wakiandamana kupinga #Urusi kuweka vikosi vyake na kuishambulia #Ukraine, baadhi ya watu wamebainika kuunga mkono vita hiyo kwa kutumia herufi ‘Z’
Herufi ‘Z’ imeonekana kwenye vifaru na magari ya Urusi huku maana kamili ya herufi hiyo ikiwa...
Wakili Peter Thadeo amesema Sheria ya Ndoa haijazuia wala kukataza mke au mume kuchepuka lakini ametahadharisha kuwa kuchepuka kupitiliza kunaweza kupelekea ndoa kuvunjwa.
Wakili Peter amesema kinachozuiwa na Sheria ya Ndoa ni mwanamke kufunga ndoa nyingine akiwa kwenye ndoa. Adhabu yake ni...
Amani ni chemichemi ya kila kitu
Unaipataje? Na wapi na kwa nani na bei gani?
#Jibu: Kataa Kuchukia, Kataa Machukizo ya chochote kile.
Kupenda ni hiari ila kukataa kuchukia ni lazima kwa ajili ya amani ya maisha yako.
Imani ni Ushindi
Otesha Amani daima kataa chuki na machukizo.
Jumapili...
Toleo letu jipya la simu za CAMON 18 Series ndio simu janja kwa sasahivi yenye sifa kabambe. Sifa kubwa zinazopatikana katika simu za CAMON 18 Series ya kwanza ni GIMBAL CAMERA hii ni feature inawezesha video kuwa clear na steady, maana yake unaweza kurekodi video hata kama upo kwenye movement...
Leo ni Siku ambayo Mpangilio wa tarehe ni 22/2/22. Siku hii ni Palindrome kwasababu Namba inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza thamani
Siku hii pia ni 'Ambigram' ambayo humaanisha sanaa inayoweza kufanya neno au namba lisomeke juu chini, na chini juu
Inaripotiwa kuwa...
Kama unataka kuingia kwenye kilimo ni muhimu kujua bei za soko za bidha unazotaka kujihusisha nazo ili kujua zao ambalo litakulipa zaidi na ukajikwamua kiuchumi
Kwa takwimu zilizopo bei ya Kilo moja ya Tumbaku ni kubwa kuliko bei ya Chai. Kwa kipindi cha 2002 hadi 2021 Tumbaku iliuzwa kwa...
Kwa bei za kahawa zilizoanishwa na Benki ya Tanzania, kuanzia mwaka 2002 hadi mwaka 2020 bei ya kahawa aina ya Arabica imekuwa kubwa kuliko bei ya robusta kwa mauzo ya kilogram moja kwa Dola za kimarekani
Wastani wa bei ya kahawa aina ya Robusta ni Dola 1.7 kwa kg wakati Arabika ikiwa ni 3.2...
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022
Leo ni mwendelezo wa mada ya wiki iliyopita kuhusu Spika Bora na Bora Spika, Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika Bora. Je CCM Ituteulia Spika Bora, au Bora Spika Kama Kawa?. Isipo...Karma Ita..
ambapo niliwaomba CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.