Salaam, Shalom.
Tanzania kuibeba Dunia, Hilo tu tayari ni HOJA fikirishi.
Kabla sijaenda ninakotaka kuelezea, ZIFUATAZO, ni sifa za Nchi hii ambazo, huwezi kuzipata Mahali pengine popote duniani katika macho ya kibinadamu katika Ulimwengu wa mwili.
1. AMANI
Pamoja na Nchi hii kuwa na makabila...