Nyerere alicheza Msondo, wewe nani usicheze?
Miaka 56 iliyopita, nazungumzia mwaka 1964, bendi mbili kubwa za Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, zilipiga dansi maalumu la kuchangia chama cha TANU.
Bendi hizo ni NUTA Jazz, Msondo Ngoma ambao mpaka sasa bado wapo katika ulimwengu wa muziki...