wajumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoa Taarifa

    LGE2024 CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa

    Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba kila kitu kinakwenda sawa na kufuata kanuni, sheria na taratibu za kiuchaguzi, sasa hizi ni namba za...
  2. mdukuzi

    Muda umefika wajumbe wa nyumba kumi wapatikane kwa kushindanisha vyama vyote kama ilivyo kwa viongozi wa mtaa, Kijiji na kitongoji

    Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa ulete barua ya balozi wako wa nyumba kumi. Hapo huwa inaleta ukakasi, maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote. Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa...
  3. N'yadikwa

    Kwenu Wajumbe wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari, chukueni pointi 8 hizi

    Tasnia ya habari imevamiwa na magugu maji. MNA JUKUMU LA KUNG'OA MAGUGU Na N'yadikwa - Milima ya Umalila Hongereni kwa kuteuliwa. Kwa kuzingatia changamoto za uandishi wa habari na utangazaji nchini Tanzania, Bodi ya Ithibati kwa Waandishi wa Habari ina majukumu muhimu ya kuhakikisha sekta ya...
  4. Webabu

    Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

    Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura. Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake. Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita. UN members...
  5. Mindyou

    Uteuzi: Waziri wa Viwanda, Selemani Jafo afanya uteuzi wa Wajumbe 3 Wa Tume Ya Ushindani (FCC)

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo amefanya uteuzi wa wajumbe watatu wa Tume ya Ushindani (FCC) Kulingana na taarifa iloyotolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara, Waziri Jafo amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani, Sura 285, Kifungu 62 (6) na (7) ya mwaka...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Balozi Dkt. Pindi Chana Ateta na Wajumbe wa Benki ya Dunia

    WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete katika Ofisi za Wizara ya...
  7. Ojuolegbha

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  8. Roving Journalist

    Uteuzi wa wajumbe wa bodi ya shirika la uzalishaji mali la Jeshi la Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (MB) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 6(2)(a-g) cha Amri ya Uanzishwaji wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi ya Mwaka 2013, iliyofanyiwa Marekebisho Mwaka 2023, amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi ya...
  9. R

    Nashauri kamati ya kufanya tathmini iwe na wajumbe wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda badala ya kuundwa na watumishi wa umma wasiofanya biashara

    Nampongeza Mhe. Rais kwa kuunda kamati ya kufanya mapitio ya mfumo wa kodi nchini. Natambua wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda, migodi na maeneo mengine ya uwekezaji watakuwa respondent kwenye kamati lakini nashauri kwenye timu ya wajumbe wawepo pia. Wanaolalamika ni wafanyabiashara na...
  10. A

    Ni akina nani Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya Bunge? Je, wana uwezo wa kutafsiri Sheria?

    Ningependa kujua wajumbe wa Kamati ya maadili ya Bunge. Na uwezo wao wa kuweza kuzichambua na kutoa maamuzi
  11. SAYVILLE

    Teuzi za wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi zilizofanywa na Mo Dewji na Mangungu zinadhihirisha tatizo la Simba liko wapi

    Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali management ipo kama jina tu ila haina watu na waliopo hawana meno ya kutenda majukumu yao. Chukulia...
  12. Majok majok

    Mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu, mhindi alitaka kufanya maigizo ya kuwaondoa wajumbe wake kisha kurudisha wale wale!

    Mangungu ni Kama alishtukia kamchezo ka mhindi wa Bombay alikotaka kukafanya ili na yeye akae pembeni afanikishe jambo lake lakini mtoto wa mjini akausoma mchezo kwa umakini na kuupangua! Bwana kanjibhai karudisha wajumbe wa bodi wale wale kina try again Sasa unajiuliza kulikuwa na haja Gani ya...
  13. ESCORT 1

    Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

    Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku. Unahisi jina gani halitokosekana? ===== Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
  14. L

    Mapendekezo yangu wajumbe wanaofaa kumsaidia Mo Dewji kwenye Bodi ili kurejesha heshima yake iliyopotea

    Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix Minziro Majeshi Baba Kataraia akimzaba makofi niko uwanjani, Simba anakosa ubingwa vs Stella niko...
  15. Suley2019

    Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
  16. R

    Pre GE2025 CHADEMA wazidi kuwakataa wabunge 19 waliopo Bungeni. Tundu Lissu akomaa na vita ya Rushwa, wajumbe wamuunga mkono kwa kishindo

    Baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye majadiliano ya CHADEMA ni pamoja na kupenyezwa kwa hoja ya kuwasamehe wabunge 19 warejee kwenye chama. Wajumbe kwa kauli moja wamewakataa wabunge hao na kudai waliona wao ni muhimu kuliko chama waende kwa aliyewapeleka bungeni. Hoja ya rushwa pia ilitikisa...
  17. M

    Ujumbe wa Lissu kwenda kwa Wajumbe kamati kuu huu hapa

    Kutoka Chadema Hq. Ameandika Tundu Lissu. Wajumbe wa Kamati Kuu salaam. Nimepokea barua hiyo kutoka viongozi wetu wa Njombe. Barua yenyewe inajieleza na mnaweza kuisoma na kuielewa wote. Pamoja na kwamba haijatumwa kwa wajumbe wote wa Kamati Kuu, sidhani kama ni sawa sawa kwangu kuikalia kimya...
  18. B

    Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe awashukuru Wajumbe kwa kumuamini miaka mitano tena

    Njombe, Tanzania CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa. Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na...
  19. F

    Pre GE2025 Ole Ngurumwa: Wajumbe wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi

    Source: Clouds FM Power Breakfast. Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale. Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya...
  20. Webabu

    Netanyahu aweweseka wakati akiwadanganya wajumbe wa Congress

    Ili kubadili mwelekeo wa Marekani dhidi ya Israel washawishi wa kiyahudi Marekani wamepeleka kikundi cha wajumbe wa Congress mjini Jerusalem kuzungumza na waziri mkuu wa nchi hiyo,Benjamin Netanyahu. Katika mazungumzo hayo Netanyahu amewambia wajumbe hao kuwa ushindi wa Israel huko Gaza umebaki...
Back
Top Bottom