Siku moja baada ya wajumbe watano kati ya saba wa kamati ya maboresho ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kujiuzulu, wajumbe hao wameeleza sababu za kufanya hivyo, ikiwamo ugumu wa kupata taarifa sahihi za fedha.
Kamati hiyo ilizinduliwa na Mufti, Abubakar Bin Zubeir, Februari 16...
Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge.
Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
Kuna Mkutano Mkuu wa Baraza la Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Ushauri, Habari na Utafiti ambao unafanyika katika Hoteli ya Edema Manispaa ya Morogoro.
Lakini katika mkutano huo ambao umeanza majira ya saa mbili asubuhi leo tarehe 23 Machi...
Hii ni hatari sana maisha yamebaka vibaya na ninachosshuhudia kwenye group la mshkaji anayetarajia kuoa hivi karibuni huwez aamini.
Wadau wanachanga kwa kwenda mbele. Yaani ni mwendo wa kupunguza na kutoa ahadi mm ni kama siamini.
Hapa ndio pale ninapoamini watu tunatofautiana. Watu wanakazi...
Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka:
Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣
Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina...
Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji
Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la...
John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000.
Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini...
Wajumbe wa MCC Kawe kama mpo pia na hapa JamiiForums naomba nichukue nafasi hii kuwatakeni radhi kama kuna nilikowakosea ili mnisamehe na nyota yangu ya kukubalika irejee kwa Jamii.
Kwani kama kuna sehemu ya kipekee ambayo mara kwa mara nimekuwa nikitamba kuwa nakubalika, ni maarufu na mimi...
Januari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais.
Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura...
Nimetafakari kwa kina matokeo ya NEC nikaona umeme, maji na tozo ndio sababu kuu zilizotuletea matokeo hayo.
Nawashukuru wajumbe kwa matokeo mazuri sana!
Wahusika wajitafakari kwa mstakabali wa maisha yao ya kisiasa ndani na nje ya chama!
Mungu ibariki Tanzania nchi yetu.
Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti.
Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa.
Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote.
Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba alipewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano huo alisema kama kweli wote waliosimama na kumsifia Dkt. Samia Suluhu wameongea wakimaanisha basi wasimame na kupitisha azimio la kuwa Samia Suluhu ndiye atakua mgombea pekee kwa mwaka 2025.
"Naona kila...
Mimi sijawai na sitawai kuwa mwanachama wa ccm mpaka naingia Kaburini Ila ccm ikifanya vizuri tuwapongeze.
Uchaguzi uliofanyika jana kiukweli nimeupenda kwa kuwa na sifa moja tu.
Kutengenisha kitu kinaitwa Mpira na Siasa kutengenisha sector ya Habari na Siasa, pia naiomba ccm waende mbali...
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.
Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura...
Ndg: wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa, nashauri Msiwachague wagombea wa NEC ambao wanatumikia nafasi za Ubunge au Uwaziri. Ieleweke kwamba Mbunge wa Ccm! tayari ni Mjumbe wa vikao vifuatavyo.
1. Mkutano mkuu wa ccm kata anayoishi.
2. H/maushari kuu ya CCM wilaya.
3. Kamati ya Siasa wilaya...
Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini.
Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao...
Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa madai ya kukiuka miiko ya utumishi. Makamisha hao walipinga matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo na kudai kuwa hawayatambui.
Makamishna hao, Juliana Cherera, Justus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.