UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)
Tarehe 21 Machi, 2024
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 7 (3) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya mwaka 2003...
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo .
Yaani Mhagama roho...
Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .
Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada...
Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25
kwamba kiongozi anaenda Bungeni anapewa posho ya Kuja kuwahonga walipa kodi lakini vyombo vya dola...
Kwa uchache sana nataka kutoa tahadhari kwenu kuhusu ushauri unaotolewa humu Jukwaa la Mapenzi.
Wajumbe wanatoa ushauri mwingi sana, lakini uchukue kwa tahadhari huku ukichanganya na akili zako. Ukiuchukua kama ulivyo unaweza kuharibikiwa vibaya sana. Jitegemee zaidi kwenye maamuzi ya mwisho...
Afla za uchaguzi wa tisa wa Chipukizi Taifa zilizofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma, zimeibua maswali mengi baada ya watoto walioshinda vinyanganyiro hivyo kuwa watoto wa viongozi tu kwa asilimia kubwa, ikilinganishwa na idadi ya watoto walioko Tanzania.
Katika vinyanganyiro...
1. Mpeni maua yake Dr Samia anajitahidi sana kuifanya CCM iendelee kuwa Chama cha kutumainiwa.
2. Tunaelekea uchaguzi mwakani, ile ya kufikilia (kujua kusoma na kuandika) ni sifa pekee ya kumpa mtu uongozi ikataeni Dunia imebadilika sana. viongozi waandaliwe kwa umakini, watayalishwe wenye...
Wajumbe 300 wa Umoja wa Mataifa wamelazimika kutazama unyama uliofanywa na HAMAS na kilichosababisha Gaza ichezee kichapo, ni video zilizokua zinachukuliwa na HAMAS wenyewe kwa walivyo wapumbavu, inapaswa zisambazwe kote kote duniani, ili makelele yapungue na kuipa Israel fursa ya kuendeleza...
Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake
MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo
Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi...
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tangu tuanze safari ya Mabadililko Klabu yetu imepiga hatua kubwa sana katika nyanja mbali mbali.
Pamoja na maendeleo ambayo Klabu yetu imepiga katika kipindi hiki cha miaka mitano lakini malengo yetu bado hatujayafikia.
Mojawapo ya majukumu ya...
Wajumbe wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), leo Septemba 25, 2023 wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzuiliwa kufanya kikao chao cha dharura cha Baraza la Taifa la CWT
Wakizungumza nje ya geti la makao makuu ya chama hicho Jijini Dodoma wamesema wameshangazwa na kitendo hicho kwani wao...
Nilikuwa nauliza ndugu zangu naomba kupata ufafanuzi wa hili jambo binafsi linanichanganya hawa wajumbe wa Serikal za mitaa au balozi wa nyumba kumi ndio hao hao wajumbe wa chama (CCM)?
Igweeeeee,
Kama heading ya thread inavyojieleza naomba kufahamu kwa anayefahamu katiba ya kanisa la KKKT Tanzania ni kina nani ni wajumbe wa mkutano mkuu wa kumchaguwa Askofu mkuu?
Kwa upande wa Kanisa Katoliki nadhani iko wazi hakuna Askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania, maaskofu wote ni...
Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023...
Picha huzungumza vizuri zaidi, hasa kama ikipigwa bila mtu kujua anapigwa picha!! Kwenye picha hii Zelensky anaonekana kuduwaa, kushangaa, haamini kama kikao kimekwisha na wajumbe wote wako bize kufurahi na kupongezana.
Wakati wenzake wanachangamkiana yeye anajiona mpweke! ni kama wamemsusa...
Kama tulivyowaarifu jana tarehe 15 Juni 2023, kimeitishishwa kikao cha baraza la taifa cha dharura jijini Dodoma tarehe 18 Juni 2023 kati ya mengi ambayo yangejadiliwa ni pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji wa taifa kuvunja katiba na kuvuruga uongozi na chama kwa ujumla. Naibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.