Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu.
Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu.
Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi. Pia wakati huu nasumbuliwa na hasira sana, kitu kidogo nakasirika sana.
Naona Sina marafiki...