Habari wakuu,! Nauza kitanda cha mbao cha sita kwa sita, kipo vizuri, nimehamishwa kikazi, ni kizito mno nimeona nikiuze tu. Kwa atakae hitaji anicheki, bei laki 4 tu mpk laki 3 na 80.
Nipo zanzibar mtoni jeshini. Ni kitanda tu bila godoro. Pia nauza honda aina ya klick iko vzr, jino moja tu...