wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Wakazi wa Wilaya ya Bunda na Wilaya ya Serengeti wadaiwa kuchomana mishale katika mgogoro wa ardhi

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Mekomariro Wilaya ya Bunda, naomba jamii ijue kuwa kuna ugomvi wa ardhi kati Wananchi wa Kijiji chetu na Wananchi wa Kijiji cha Wilaya ya Serengeti, mpaka sasa kuna ugomvi mkubwa, watu wamechomana mishale. Huu mgogoro hauwezi kumalizika kwa kuwa kuna viongozi au...
  2. Stephano Mgendanyi

    Kituo cha Afya Mundindi Tarafa ya Liganga Kinachokwenda Kuhudumia Wakazi Zaidi ya 40,000 Wilaya ya Ludewa

    TIZAMA PICHA ZA KITUO CHA AFYA MUNDINDI AMBACHO KINAENDA KUHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 40,000 TARAFA YA LIGANGA- KATA YA MUNDINDI, WILAYA YA LUDEWA Wakazi zaidi ya 40,000 wa Tarafa ya Liganga wilayani Ludewa mkoani Njombe wameondokana na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya Km. 50 kufuata huduma ya...
  3. A

    DOKEZO Tunaomba tuwekewe Lami kuanzia pacha ya Mbae hadi Mjimwema (Mtwara)

    Wakazi wa pacha ya MBAE, MBAE NA MJIMWEMA tunateseka na vumbi kwa sababu ya barabara ni mbovu mno halafu hiyo barabara ni muhimu sana Kwa wanafunzi wa chuo cha TIA wanaokaribia kurudi mwezi wa kumi na licha ya hivyo chuo kimehamia Mjimwema huko lakini serikali ya mkoa wa Mtwara haina mpango wa...
  4. atlas copco

    Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii
  5. katoto kazuri

    Shule nzuri ya Kimataifa(Sekondari na Awali) mkoa wa Arusha

    Habari zenu wakaka na wa dada wa jf . Habari zenu wamama na wababa na wazee wa humu . Nichukue nafasi hii kuwauliza wazazi wa Arusha ni shule gani ya international nzuri kwa secondary na nursery. Muongozo wenu ni muhimu sana .
  6. Roving Journalist

    DC wa Rungwe, Jaffar Haniu azindua ujenzi wa Barabara ya Ndulilo - Itete yenye urefu wa Kilometa 11.38

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua ujenzi wa barabara ya Ndulilo mpaka Itete kwa Kiwango cha Lami inayounganisha Kata ya LUFINGO na KYIMO yenye umbali wa KM 11.38 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8.9, leo tarehe 24.8.2023. Akimtambulisha Mkandarasi anayetekeleza Ujenzi wa...
  7. S

    Rais wangu Samia ni nini kinashindikana kuwaondoa hao wakazi wa Ngorongoro wanaoomba kuondolewa Ngorongoro?

    Serikali ilianzisha mpango wa kuwatoa wananchi ktk hifadhi ya Ngorongoro, wamekubali kwa hiari yao na wamejiandikisha tangia mwaka jana lakini bado serikali haiwahamishi kuwapeleke Mosmera au sehemu nyingine yoyte maana wako tayari. kila siku wanalalamika kwanini hawaondolewi, kuna nini huko...
  8. T

    Watu ambao hugombania usafiri wa umma kama wakazi wa Mbagala huishi maisha marefu?

    Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye gazeti la Washington Post umesema watu ambao hugombania usafiri wana nafasi kubwa ya kuishi maisha marefu na kuepukana na baadhi ya saratani. Kwa Dar es salaam, wakazi wa mbagala wanajulikana kwa kugombania gari na kupambana kupata nafasi ama kiti cha...
  9. Its Pancho

    Wakazi amlipua Diamond vikali

    Kupitia account zake msanii wakazi amemlipua vikali msanii boss wa wasafi diamond.. NASIBU USIPOTOSHE WATU, KWA KUPINDISHA UKWELI NA KUONGEA UNAFIKI. Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako sio sahihi kuhusu soko la muziki la nje, na nashangaa wewe kujidai unahubiri unity na kutokatishana...
  10. Unasemeje

    Tahadhari: Wakazi wa Mikocheni mpaka Ubungo Sheli Kesho Msitoke Nje

    Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo. Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari inawanyemelea huko. Ni hivi, kesho ntakuwa najifunza kuendesha pikipiki na ntatumia hiyo barabara hivyo...
  11. M

    Waziri Aweso na Mkurugenzi Mkuu DAWASCO tusaidieni wakazi wa Mbezi

    Waziri wa Maji pamoja na Mkurugenzi mkuu wa DAWASCO tunaomba mtukwamue sisi wakazi wa Mbezi hasa Mpiji, Msumi na Msakuzi ambao DAWASCO na wafanyabiashara wa magari ya maji wamekuwa wanatupa mateso sana. Ni dhahiri kutokana na watendaji wa DAWASCO na wafanyabiashara inaonekana hawataki kabisa...
  12. Bushmamy

    DOKEZO Baadhi ya Wakazi wa Arusha wailalamikia TASAF kuwapa vijana pesa huku wazee na masikini wakiachwa

    Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini. Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
  13. Chizi Maarifa

    Msaada: Anayejua gym maeneo ya Africana, Mbezi Beach

    Naombeni mnisaidie wapi nitapata GYM maeneo ya Mbezi Africana. Ndipo ninapoishi. Naona uzito unaongezeka na si nzuri sana kiafya. Pia sipendi kuwa na mwili mayai mayai. Sasa maeneo ya huku sijajua wapi naweza pata Gym nianze kufanya mazoezi. Na kama kuna Kampani pia si mbaya. Mimi naishi Mbezi...
  14. JanguKamaJangu

    Askofu Gwajima asema ahadi yake kwa wakazi wa Kawe kuwapeleka Birmingham (Uingereza) bado ipo

    Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima...
  15. M

    Kama mambo yenyewe ndio haya dada wa kazi wanahaki ya kuwatesa kina Junior

    Kwakweli mabosi hasa wanawake wanashindwa kabisa kuthamini mchango wa hao watu muhimu sana na nguzo kubwa kwenye familia ya baba kazini na mama kazini kurudi jioni. Wanawake wengi mmekuwa na roho mbaya hadi kwa watu wanawatunzia wanenu kutwa nzima na kwa mantiki nasema wakuwatesa wakina junior...
  16. N

    Wakazi wa kigamboni naomba assistance nahitajiMaster rooom(single self) maeneo ya kibada, ungindonii au mji mwema

    Habarii great thinkers, Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
  17. T

    Naomba Msaada Kutoka kwa wakazi wa Kifanya kuhusu kilimo cha Ndizi

    Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea. Altitude yake ni m800 mpaka m1200. Je eneo hilo ndizi zitafanya vizuri? nimeona mashamba ya ndizi za moro zile fupi...
  18. benzemah

    Bwawa la Kidunda Kuleta Ahueni Wakati wa Kiangazi Kwa Wakazi wa Dar na Pwani

    SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi Bwawa la Kidunda litakalojengwa mkoani Morogoro na kugharimu sh bilioni 335. Bwawa hilo litakua na uwezo wa kuhifadhi maji kwa miaka mitatu mfululizo. Akiwasilisha taarifa...
  19. N

    DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  20. Greatest Of All Time

    Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
Back
Top Bottom