Mkristo ni barua ni lazima asomeke vizuri, aandikwe kwa mwandiko mzuri.
Mkristo ni chumvi ya ulimwengu, lazima atie ladha dunia ili dunia iwe mahali pazuri na salama kwa kuishi binadamu, wanyama, samaki, mimea na mazingira kwa ujumla.
Mkristo ni chombo cha haki, tetea haki inapodhulumia...