Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni...
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.
Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume...
Naam,
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.
Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya...
Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
Habari za humu!
Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha.
Nimeishi Kusini yaani...
Mimi kama Kristo niliolelewa nikijua Biblia ni kitabu kitakatifu, nimesikitishwa sana na huyu mchungaji Masisi kwa makufuru yake kuhusu Biblia.
Masisi hana tofauti na wakristo wengi ambao tumekuzwa tukielewa Biblia ni neo la kweli la Mungu, ila kiburi anachokionyesha sijui kwa usomi wa...
Habari,
Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "Sikustahili."
Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali kuwa
Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...
Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
Nimejaribu kuangalia hali ya upendo Kati ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo, hali inasikitisha. Kila dhehebu linahubiri upendo kivyake ilhali wanawabagua wenzao wa dhehebu lingine.Hali hii inasababishwa na nini Je Kristo amegawanyika?
Binafsi familia niliyotoka nimefanikiwa kuona SDA...
Nafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14.
14 Je, maumbile ya asili...
hata Yesu alivyoomba alifumbua macho huku akiangalia juu mbinguni .. YOHANA 17:1
Usiku wa juzi nikiwa nikiwa kwenye maandalizi ya kulala, kama kawida yangu huwa ni lazima nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, utimamu na amani aliyonipa. Kwa siku hio kabla ya kulala nikajiuliza swali kwanini huwa...
Mnamo Machi 19, 2020, Mchungaji James* aliamka kama kawaida na kuondoka kwenda kufanya maombi katika kanisa lake katika kisiwa cha Zanzibar, kilicho karibu na pwani ya Afrika mashariki mwa Tanzania. Lakini alipofika, kwa mshtuko wake, alikuta kanisa lake lilikuwa limeboreshwa. Kabla hajaelewa...
Hainiingii akilini kwa nini wakristo wanaoamini kwamba Yesu ameshinda mauti lakini ikitokea mmoja wetu amefikia mwisho wa uhai wake tunakisujudia kifo badala ya kutangaza ushindi juu ya kifo. Nimekulia kwenye kanisa Katoliki na hizi nyimbo za maombolezo zinanitia kisirani kabisa. Fikiri wimbo...
Huwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa...
Na Dr. Mathew Mndeme
UTANGULIZI
Kwenye miaka ya 1990 kuja hadi around 2015, nchi za Ulaya na hasa Uingereza na Marekani vilikumbwa na tatizo kubwa sana la uhamiaji haramu (illegal migration). Kulikuwa na wimbi kumbwa sana la wahamiaji hasa kutoka nchi za Afrkika na Asia. Watu wengi walikuwa...
Miaka fulani mkuu wa polisi, katibu wa chama tawala na jaji mkuu wa nchi moja kusini mwa jangwa la sahara waliamua kuchukua jengo la kanisa kupitia kesi ya kutengenezwa.
Askofu Oyedepo alipoambiwa akasema, "Mungu ni mkubwa na anaweza kujilinda na kujitetea yeye mwenyewe." Akawaambia viongozi wa...
Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam,
Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!.
Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.