Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

CHEATING IS A CHOICE, NOT A NEED

Kuwa na mpango wa kando au mke wa pili haihusiani na ndoa, hausiani na uanaume.

Kuwa na mchepuko au mke wa pili, ni ishu ya maamuzi ila sio ishu ambayo iko connected na matakwa na mahitaji ya wanaume kwa maana watu wametomb*** weeee na kuoa weeeee lakini hakuna kilichombadirisha au kumboreshea uanume wake au kutoshoreza haja zake.

So kuchepuka ni issue ya maamuzi kwa kujali hisia na mihemuko yako ila sio isssue ya mahitaji muhimu hadi imsumbue mwanaume kichwa
 
Back
Top Bottom