Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Dada zangu waislam, mume mmoja anatosha???
Nawashukuru mnaotuletea tuzichape
 
Mkuu ushamove on kwa Kasi namna hii🤣
Ahahahahah..hapana boss wangu, nimetoa tu maoni. Ujie hata sis wakristo (both Me na Ke) huwa tunajua kabisa mwanamke mmoja kwa mwanaume ni changamoto, ndio maana kile kiapo tunakiita pingu, unakua kabisa huku nakoingia sio kweli ila naahidi kujikana nibaki na mwanamke mmoja tu!!.
 
Tuseme tu Kwa uwazi
Tusifiche
Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
Anakutosha wewe, usitusemee wakristo. Hata Biblia na Kristo mwenyewe tunaemfuata hajatuelekeza tuwe na mke mmoja au wengi. Katuacha huru kuchagua mmoja au wengi.
 
Anakutosha wewe, usitusemee wakristo. Hata Biblia na Kristo mwenyewe tunaemfuata hajatuelekeza tuwe na mke mmoja au wengi. Katuacha huru kuchagua mmoja au wengi.
Duuuh
 
Back
Top Bottom