Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Tunavumilia tu au sometimes majukumu yanatutinga kwaiyo sex hatuipi sana kipaumbele lakini kibailojia mwanamke mmoja awezi kutimiza haja za mwanaume. Linapokuja suala la sex mwanaume yupo tayari muda wowote siku yoyte lakini mwanamke ana changamoto nyingi. Kuna period, mapumziko baada ya kujifungia n.k

Mwanamke baada ya kujifunga hauwezi kufanya nae tendo la ndoa na kipindi hicho libido ya mwanaume bado ipo functionable sasa huyu mwanaumenakitoka nje hauwezi kusema ame-cheat. That's not cheating it's surviving
Aisee it's surviving yaani tumetoka ktk cheating Sasa hivi tuko ktk surviving siyo. Hahaaa
 
Kiukweeeel toka moyoni ,hata wawili hawatosh 😂😂
Nakumbuka sana kisa chako na mkeo!

Nikikusoma ulichoandika hapa nachelea kusema wewe ndiye ulikuwa muanzilishi mkuu wa matatizo ndani ya nyumba/familia yako so mkeo yeye alifuata mule ulikopita,mwanamke ukiwa mtulivu atakuwa mtulivu ukiwa malaya atakuwa malaya maana mume ndiye mwalimu wake.
 
Mimi sisubiri niambiwe.
Lakini jiulize kwanini Sulemani anatajwa kama alikua mtu mwema, kipenzi cha Mungu, mwenye hekima na hakuwa chukizo mbele za Bwana.
Hakuna hata andiko moja katika Biblia linalomtaja Sulemani alikua mtu mbaya.
Husomi Biblia/Huifahamu
1 Wafalme 11:1-15

Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti,
2 na wa mataifa Bwana aliyowaambia wana wa Israeli, Msiingie kwao, wala wasiingie kwenu; kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu kuifuata miungu yao. Sulemani akaambatana nao kwa kuwapenda.
3 Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo.
4 Maana ikawa, Sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza moyo wake, afuate miungu mingine, wala moyo wake haukuwa mkamilifu kwa Bwana, Mungu wake, kama moyo wa Daudi baba yake.
5 Kwa kuwa Sulemani akamfuata Ashtorethi, mungu mke wa Wasidoni na Milkomu, chukizo la Waamoni.
6 Sulemani akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, wala hakumfuata Bwana kwa utimilifu, kama Daudi baba yake.
7 Sulemani akamjengea Kemoshi, chukizo la Wamoabi, mahali pa juu, katika mlima uliokabili Yerusalemu, na Moleki, chukizo la wana wa Amoni.
8 Na kadhalika ndivyo alivyowafanyia wake zake wa nchi za kigeni, waliofukiza uvumba, wakawatolea miungu yao dhabihu.
9 Basi Bwana akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha Bwana, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili,
10 akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru Bwana.
11 Kwa hiyo Bwana akamwambia Sulemani, Kwa kuwa umefanya hayo, wala hukuyashika maagano yangu, na sheria zangu nilizokuamuru, hakika nitaurarua ufalme usiwe wako, nami nitampa mtumishi wako.
12 Walakini katika siku zako sitafanya haya, kwa ajili ya Daudi baba yako; nitaurarua utoke katika mkono wa mwana wako.
13 Lakini sitauondoa ufalme wote pia; nitampa mwana wako kabila moja, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu, na kwa ajili ya Yerusalemu niliouchagua.
14 Ndipo Bwana akamwondokeshea Sulemani adui, Hadadi Mwedomi; yeye alikuwa wa wazao wake mfalme wa Edomu.
15 Kwa maana ikawa, Daudi alipokuwako Edomu, naye Yoabu, mkuu wa jeshi, amepanda awazike waliouawa, akiisha kumpiga kila mwanamume wa Edomu,
 
Mimi sisubiri niambiwe.
Lakini jiulize kwanini Sulemani anatajwa kama alikua mtu mwema, kipenzi cha Mungu, mwenye hekima na hakuwa chukizo mbele za Bwana.
Hakuna hata andiko moja katika Biblia linalomtaja Sulemani alikua mtu mbaya.
Sele alikuwa kidume sana kwa enzi zetu tunamfananisha King Muswati.
 
Narudia tena "mwanaume hatosheki na mke mmoja " uliza Waislamu.
Mambo ya dini hekima yake haipo kwenye kutosheka ipo katika 👉KUWA NA KIASI ndio maana hata chakula ni haramu kama utakosa kiasi na kufikia ULAFI....hivyo mud boy alileta dini mpya ya kukosa kiasi ambayo ni nguzo ya manabii na mitume wote wa kweli. Hata ukisoma kitabu cha Daniel...yeye na wenzake walikataa posho yao ya vyakula vya anasa vya kifalme na kufanikiwa sana kwa mungu wao maana walitambua nguzo kuu ya dini ya kweli kuwa ni kiasi.
Mlevi ni mtu asiye na kiasi katika pombe ...mrafi ni mtu asiye na kiasi katika kula malaya ni mtu asiye na kiasi katika kuzini ....fisadi ni mtu asiye na kiasi katika fahari za dunia nk
 
Mambo ya dini hekima yake haipo kwenye kutosheka ipo katika 👉KUWA NA KIASI ndio maana hata chakula ni haramu kama utakosa kiasi cha kufikia ULAFI....hivyo mud boy alileta dini mpya ya kukosa kiasi ambayo ni nguzo ya manabii na mitume wote wa kweli. Hata ukisoma kitabu cha Daniel...yeye na wenzake walikataa posho yao ya vyakula vya anasa vya kifalme na kufanikiwa sana kwa mungu wao maana walitambua nguzo kuu ya dini ya kweli kuwa ni kiasi.
Mlevi ni mtu asiye na kiasi katika pombe ...mrafi ni mtu asiye na kiasi katika kula malaya ni mtu asiye na kiasi katika kuzini ....fisadi ni mtu asiye na kiasi katika fahari za dunia nk
Hakika mkuu
 
Nakumbuka sana kisa chako na mkeo!

Nikikusoma ulichoandika hapa nachelea kusema wewe ndiye ulikuwa muanzilishi mkuu wa matatizo ndani ya nyumba/familia yako so mkeo yeye alifuata mule ulikopita,mwanamke ukiwa mtulivu atakuwa mtulivu ukiwa malaya atakuwa malaya maana mume ndiye mwalimu wake.
Sawa..uko free ku judge unavyoweza ni maoni yako na yanapaswa kuheshimiwa
 
Back
Top Bottom