ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
SitakiUwe mke mdogo maana amekwisha oa
SitakiUwe mke mdogo maana amekwisha oa
Nani dada fala wewe??Ninazo dada we nipe tu K uone 😎
Sasa kama haikuhusu umejibu kama nani?? Au ulihamia uislamu kisa demu wako muislam ila kiroho upo ukristo?? Kujibu yasiyokuhusu ni sehemu ya utovu wa nidhamuUzuri we mkristo mwenzao,,,lakini utashangaa walivyo mazuzu watawatukana waislam wakati mada umeleta mkristo mwezao
Mke mmoja hatoshiTuseme tu Kwa uwazi
Tusifiche
Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
Hakuna cha ufemi kifupi tu mpenzi mmoja hatoshiFeminist katika Moja na mbili 🎤
unawashwa wewe!Sasa kama haikuhusu umejibu kama nani?? Au ulihamia uislamu kisa demu wako muislam ila kiroho upo ukristo?? Kujibu yasiyokuhusu ni sehemu ya utovu wa nidhamu
Mt 19:4
Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke
Marko 10:5-9
5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Neno: Bibilia Takatifu
Read full
Kwenda zako huko tapeli mkubwa wewe. Nilishasema kuwa sitaki utani kwa ephen wangu lazizi wa ❤️ wangu. Nitavunja mtu pua na hakutakuwa na kesi yoyote ile katika kituo cha polisi zaidi ya kuongezewa kipigo kikali kwa rungu la mkanye Mwanao.Uwe mke mdogo maana amekwisha oa
Siwezi kukuacha ephen wangu Waridi wa ❤️ wangu.Kaniacha
Mnaonaje kila mtu akakaa kwake ili msichokane??Maziwa ya ng'ombe uliyemfuga yanakinaisha.
Mwanaume anaweza kuwa anapiga kimoja kwa mkwewe na haisimami tena hata kwa busta ila akichepuka tu anapiga nne za kuunganisha chuma imekolea moto hakuna kupoa. Lakini akiwa mtu wa kusafiri mbali na mke basi siku akirudi anapiga hata vinne kwa show moja.
Kulala na mke 24/7 kwa mwezi na mwaka kunapunguza hamu na kuanza kuishi kama kaka na dada
Sasa ndiyo umfanye mke mdogo kweli haikubaliki hata kidogoKwenda zako huko tapeli mkubwa wewe. Nilishasema kuwa sitaki utani kwa ephen wangu lazizi wa ❤️ wangu. Nitavunja mtu pua na hakutakuwa na kesi yoyote ile katika kituo cha polisi zaidi ya kuongezewa kipigo kikali kwa rungu la mkanye Mwanao.