Nani kakudanganya..!?Utamaliza mabucha lakini nyama ni ile ile
Sijakuelewa hapa mkuuNani kakudanganya..!?
We jitie madildo halafu ujilinganishe na mshamba fulani asiejua hiyo michezo then useme nyama ni ile ile.
Kilichotumika sana au kuchezewa sana hakiwezi kuwa sawa na kilichojistir au kutokuchezewa sana.Sijakuelewa hapa mkuu
Aaah! Sasa ukiwa na mwanamke wako mmoja unaepiga mwenyewe si bora kuliko kuhangaika na wengine wasiotuliaKilichotumika sana au kuchezewa sana hakiwezi kuwa sawa na kilichojistir au kutokuchezewa sana.
Ukiipiga sana inachosha tatizo, ndio maana michepuko haijawahi kukosa soko.Aaah! Sasa ukiwa na mwanamke wako mmoja unaepiga mwenyewe si bora kuliko kuhangaika na wengine wasiotulia
We, men; speak by experience. You gotta be a man first to obtain the glimpse of what I am saying lest you come in agony.Aaah! Sasa ukiwa na mwanamke wako mmoja unaepiga mwenyewe si bora kuliko kuhangaika na wengine wasiotulia
Sababu za kuchepuka ziko nyingi mkuu si moja. Unaweza mkaza vizuri sana na bado akachepuka kwa pesa au kwa fantasy zake.Badala wawakaze wake zao ndani vizuri wasichepuke wao wanahangaika na michepuko huko nje
Ambatanisha na 2Timotheo 3:2 Mtu anayetaka kuwa mchungaji/Askofu anapaswa kuwa mume wa mke mmoja.Mt 19:4
Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke
Marko 10:5-9
Neno: Bibilia Takatifu
5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Read full
Ndio mana nikasema hata wawil hawatoshiHata hao wenye wanne wanachepuka
Maziwa ya ng'ombe uliyemfuga yanakinaisha.Aaah! Sasa ukiwa na mwanamke wako mmoja unaepiga mwenyewe si bora kuliko kuhangaika na wengine wasiotulia
Mimi ni Mkristo, nasema kweli kabisa mke mmoja hatoshi, tunafanya unafiki tu halafu tunaishia kuwa na michepuko, bora uwe na wake wawili au zaidi kama hali ya uchumi unaruhusu kuliko kuishi kutenda dhambi kwa kuwa na michepuko.Kwa wale ambao wanatosheka na mmoja sawa maana watu tumeumbwa tofauti lakini kwa sisi wengine mmoja hatoshi kabisa, na hata kwenye Biblia sijaona andiko linalokataza kuoa mke zaidi ya mmoja sana sana kwa maaskofu ndiyo imesisitizwa kuwa awe mume wa mke mmoja lakini kwa sisi wengine tunaonewa tu.Tuseme tu Kwa uwazi
Tusifiche
Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
Swadaktaa, wewe mtu na nusu.Kiukweeeel toka moyoni ,hata wawili hawatosh 😂😂
Halafu wewe wa kunyumba wewe !!!Fungua PM nitume maombi.
Well said.Tunavumilia tu au sometimes majukumu yanatutinga kwaiyo sex hatuipi sana kipaumbele lakini kibailojia mwanamke mmoja awezi kutimiza haja za mwanaume. Linapokuja suala la sex mwanaume yupo tayari muda wowote siku yoyte lakini mwanamke ana changamoto nyingi. Kuna period, mapumziko baada ya kujifungia n.k
Mwanamke baada ya kujifunga hauwezi kufanya nae tendo la ndoa na kipindi hicho libido ya mwanaume bado ipo functionable sasa huyu mwanaumenakitoka nje hauwezi kusema ame-cheat. That's not cheating it's surviving
Kuongeza idadi ya watu mkuu, ni muhimu sana linchi likubwa hili tuna wajibu wa kuliza, tupigeni mbunye wanaume pisi zipo za kutosha tusilaze damu.Uzi wako una mchango gani kwa maendeleo ya taifa mkuu?
Umeongea ukweli mkuuMimi ni Mkristo, nasema kweli kabisa mke mmoja hatoshi, tunafanya unafiki tu halafu tunaishia kuwa na michepuko, bora uwe na wake wawili au zaidi kama hali ya uchumi unaruhusu kuliko kuishi kutenda dhambi kwa kuwa na michepuko.Kwa wale ambao wanatosheka na mmoja sawa maana watu tumeumbwa tofauti lakini kwa sisi wengine mmoja hatoshi kabisa, na hata kwenye Biblia sijaona andiko linalokataza kuoa mke zaidi ya mmoja sana sana kwa maaskofu ndiyo imesisitizwa kuwa awe mume wa mke mmoja lakini kwa sisi wengine tunaonewa tu.
Nimefanyaje😉Halafu wewe wa kunyumba wewe !!!
Acha uchoyo banKama una uwezo wa kuwahudumia kifedha na kwa bed...basi idadi utakayo....ila Mimi kama bi mkubwa...usiniletee bimdogo tafadhali