Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Wrong question is uchumi wako unaruhusu kuongeza mke kama mmoja anakuoelekesha?
Ndugu napata tabu ukijibu kwa mizania ya uchumi!
Huo ni uroho wa uroda na ubinafsi wa kihisia.
Hata kama mi me lakin nawaza tu huwa mke anawaza nini kuwa na hakika mmewe yuko zamu ya mwanamke mwingine Kaya B na kifaa kile kile kitamuingia yeye siku inayofata!
Je, neno nakupenda mke wangu huwa linatumikaje?!
Tukubari mapenzi ni mke mmoja, mme mmoja.
Zaid ya hapo sabab ni umaskini na tamaa sio mapenzi.
 
Nitajie Nabii aliekua na mke mmoja

Mi nakutajia mfalme Solomon.. alifikisha buku
Kumbuka hao manabii walikuwa wanadamu na hivyo walikuwa wakijaribiwa na mwovu shetani kutenda dhambi ya zinaa kama sisi tunavyojaribiwa. Wale walioshindwa miongoni mwao walizini kimyakimya na Wengine waliamua kuzini kwa sauti kwa kuamua kuoa mke zaidi ya mmoja. Huo ndio ukweli.
Tangu mwanzo Mungu alikusudia ndoa iwe ya Mke mmoja na Mme mmoja. Ndio maana aliwaumba binadamu wawili; Adamu na Hawa.
 
Inategemea na kipaumbele chako katika maisha ...wapo wanaofurahia useja kwa sababu za dini mfano makasisi wa katoliki na mabudha...au watu kwa ajili ya shughuli za kiusalama

Binafsi maisha yangu nilianza kudate nikiwa na miaka 20...kutokana na malezi mazuri ya seminari siwezi kufanana na mnyama kwa sababu ya ngono...wanyama hupanda tuu anaposikia...hupanda mama dada au hata mkwe wake

Mimi nazitawala tamaa za mwili wangu tamaa hazinitawali mimi...si kwa sababu wali ni mtamu au nyama basi nitakula mpaka tumbo lipasuke ...nitakula kiasi tuu

Ngono haiwezi fanya nice mbinafsi kumuumiza mwenzangu...golden rule tunafundishwa kwenye Biblia Takatifu...

Do unto others as You want others to do unto you...siwezi muumiza mke wangu labda yeye ndo afanye hivyo
 
Hongera yako mkuu, ninawashangaa hawa wanaume wanaoendeshwa na tamaa za miili yao
 
Back
Top Bottom