Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

Hata kwetu wanawake Channel moja inachosha lazima kuna muda utazame Super sport 3 utazame EPL…!! Sio muda wote Maisha Magic Bongo.

Comment yangu isiguswe nna ugonjwa wa kuzimia 😹😹😹
 
Kama una uwezo wa kuwahudumia kifedha na kwa bed...basi idadi utakayo....ila Mimi kama bi mkubwa...usiniletee bimdogo tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umekataa mazima.
Mimi akiwa na uwezo wa kututunza aoe tu awezao sharti wasiwe na midomo hao wake zake.
Mimi sipendi kelele.
 
CHEATING IS A CHOICE, NOT A NEED

Kuwa na mpango wa kando au mke wa pili haihusiani na ndoa, hausiani na uanaume.

Kuwa na mchepuko au mke wa pili, ni ishu ya maamuzi ila sio ishu ambayo iko connected na matakwa na mahitaji ya wanaume kwa maana watu wametomb*** weeee na kuoa weeeee lakini hakuna kilichombadirisha au kumboreshea uanume wake au kutoshoreza haja zake.

So kuchepuka ni issue ya maamuzi kwa kujali hisia na mihemuko yako ila sio isssue ya mahitaji muhimu hadi imsumbue mwanaume kichwa
Pita kwa mangi, pata chochote, bill juu yangu.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom