Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

Yesu ndie njia ya ukweli na uzima , huwezi kwenda kwa Baba pasi na kupitia kwa yeye;

hivyo kuwa na upendo kwa wengine, kutenda mema, kusamehe wanaowakosea na kulishika neno lake ambalo ni Biblia huku ukimtukuza na kumuabudu Mungu wa kweli basi lipo tumaini kuu baada ya maisha haya ya duniani.
 
Ukesema makristo sharti useme na maislam. Makristo ni wingi wa neno kristo, wakiwa wengi wanaitwa makristo, hasa makristo ya uongo. Ulitakiwa useme wakristo na si makristo
 
Yesu ndie njia ya ukweli na uzima , huwezi kwenda kwa Baba pasi na kupitia kwa yeye;

hivyo kuwa na upendo kwa wengine, kutenda mema, kusamehe wanaowakosea na kulishika neno lake ambalo ni Biblia huku ukimtukuza na kumuabudu Mungu wa kweli basi lipo tumaini kuu baada ya maisha haya ya duniani.
Unachofanya hapa ni kutetea imani yako uliyo aminishwa na kupumbazwa.

Hakuna Yesu wa ukweli.

Yesu hayupo na hajawahi kuwepo.
 
😂 😂 😂

Screenshot_20250330_113603_Google.jpg
 
Yesu ndie njia ya ukweli na uzima , huwezi kwenda kwa Baba pasi na kupitia kwa yeye;

hivyo kuwa na upendo kwa wengine, kutenda mema, kusamehe wanaowakosea na kulishika neno lake ambalo ni Biblia huku ukimtukuza na kumuabudu Mungu wa kweli basi lipo tumaini kuu baada ya maisha haya ya duniani.
Neno la Mungu siyo Biblia.

Neno la Mungu ni Kristo, na Kristo anapatikana popote
 
Tatizo wa upande wa pili hawana wema kabisa,unaweza kumchezea mtoto wa mtu mfungo ukiisha unamtaliki.kama waislamu Wana mbingu Kila mkristo ataingia.
 
Back
Top Bottom