Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

Hata kwa kutumia akili ya kawaida tu mtu ambaye anafuata nyayo za Yesu yaani kuishi maisha kama ya Yesu hapa duniani na mtu anayefuata nyayo za Mohammed yaani kuishi kama Mohammad nani unaona kuna green light ya kwenda mbiguni.
 
Biblia ni kitabu kilitungwa na kina Lukas na mathayo kuwarubuni watu weusi wazee tumieni akili basi
bibilia ndio kitabu chenye puumzi ya Mungu na ndio maana hata , watu wafanyaje ,kina simama chenyewe kujitetea .
 
Back
Top Bottom