Acha uwongo we shaik mazinge.1) UISLAM
Ukiwa Muislam una uwanda mpana wa kufanya analysis ya mafundisho ya Mungu pamoja na manabii Kwa sababu uislam unaamini na kuwakubali manabii wote pamoja na vitabu vyao
Hivyo Muislam hana limitation katika mafundisho ya manabii na vitabu vyao
Siku mtume Muhammad alipofunuliwa habari za Musa kuhusu kugawanyisha bahari Kwa fimbo yake akasema Ee Allah hawa watu wangu nikiwapa hizi habari wataamini kweli maana kipindi hicho Kila alichokuwa anafunuliwa watu walikuwa wanamuona Muongo
Allah akamwambie waulizeni wanaojua ikiwa nyinyi hamjui Yani wawaulize Wana wa Israel kuhusu hizo habari
2) UKRISTO
Ni dini ambayo Ina limitation nyingi katika kuamini kwao na mafundisho Yao na haya yanatokea Kwa sababu dini yenyewe imeanzishwa Kwa ujanja ujanja na ndio maana ukimbana sana mkristo Kwa maandiko anakimbilia Kwa roho mtakatifu kuwa ndio anayewaongoza
Wakati roho mtakatifu alishamaliza kazi zake za kuleta ufunuo Kwa manabii
Ukichukua wakristo 100 ukiwauliza Yesu ni nani Kila mmoja atatoa jibu lake wapo watakao Sema
A)Yesu ni mwana wa Mungu
B)Yesu ni Mungu
C)Yesu ni mmoja katika Miungu 3
D)Yesu katumwa na Mungu aje kufa
E) Yesu ndio Mungu mkuu
Hi ni Kwa sababu walioanzisha hii dini Kuna vitu wamevificha Ili malengo Yao yafanikiwe
Yesu ameishi Nazareth Kwa muda wa miaka 33 lakini Bibilia inamuelezea Yesu Kwa maisha yake ya miaka 3 tu vipi hi miaka 30 ya nyuma alikuwa anafanya Nini?
Hakuna sehemu katika Bibilia inayosema kuwa Yesu alikuwa anatumwa dukani na mama yake akanunue unga wa ngano na mafuta ya taa
Hakuna sehemu yoyote inayosema kuwa Yesu alikuwa anacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
Sio kama walisahau kuweka historia ya maisha ya Yesu Kwa kuanzia mwaka 0 Hadi 30 ila ni mpango mkakati
3) UYAHUDI
Uyahudi ni uislam uliokataa kufuata mafundisho ya mtume Muhammad
Wayahudi wanajua kuwa ukristo ni dini ya uongo na uislam ni dini ya kweli kinachowafanya wasifuate mafundisho ya mtume Muhammad ni jeuri tu hakuna kingine
Wakati mtume Muhammad anafunuliwa kitabu Cha Quran
Makafiri wa Maka walienda Kwa Wayahudi kutaka ushauri watumie njia gani ilikuthibisha kuwa Muhammad ni mtume wa Mungu au anawadanganya
Wayahudi wakawapa mbinu wakawambia muulizeni habari za watu wa mapangoni kama atakujibuni basi yeye ni mtume kweli
Watu wa mapangoni ni wachamungu ambao walichukia maasi katika mji wao wakaenda kuishi mapangoni Mungu akawalaza usingizi Kwa muda wa miaka 300 na hili jambo halipo Katika vitabu vya kale ila ni jambo maharufu ambalo wayahudi wote walikuwa wanakijua
Allah alimfunulia mtume Muhammad kuhusu hawa watu habari zote
Hiki kisa kipo katika surati Ka hafu
Kwahiyo wayahudi wanajua kabisa kuwa Muhammad ni mtume wa Mungu na Quran ni kitabu Cha Mungu ila jeuri ndio inayowasumbua
Sasa watu wanafukiwa tunaona halafu tunaambiwa unaenda mawinguni,Sasa naona ni train za mwendo kasi sijui.Kwahiyo ni mwendo wa njia ndefu hakuna shortcut
Imaan ni kitu kigumu sana maana hii ya kupitia chini ya ardhi ili kwenda mbinguni inafikirisha sana.....au mbingu ipo chini sio kule juu???Sasa watu wanafukiwa tunaona halafu tunaambiwa unaenda mawinguni,Sasa naona ni train za mwendo kasi sijui.
Dini zina mafumbo ya kipumbavupumbavu sana,pengine wanaamini mbingu ni flexible.Imaan ni kitu kigumu sana maana hii ya kupitia chini ya ardhi ili kwenda mbinguni inafikirisha sana.....au mbingu ipo chini sio kule juu???
Kuna maswali mengi sana ukiwa muumini mpaka mwishoni unajiona unakufuru tu...ila daah sijui huu mtihani wa Dunia majibu yake yapo wapi maana kote ni pointlessDini zina mafumbo ya kipumbavupumbavu sana,pengine wanaamini mbingu ni flexible.
Ukute hapo reality ni eitherHii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
Chukua hii,weka umuhimu sana kwenye ishu ya kifo,Hapa ndipo siri zote zilipo.Jitahidi sana kutenda mema kwa wanaadamu.HAKIKISHA UNAKUFA UKIWA MWEMA.Kuna maswali mengi sana ukiwa muumini mpaka mwishoni unajiona unakufuru tu...ila daah sijui huu mtihani wa Dunia majibu yake yapo wapi maana kote ni pointless
Ila unaamini ukimwi upo, siyo?Mbingu haipo.
Motoni hakupo.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Shetani hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Free your mind.
Emancipate yourself from illusions.
Ni kweli hakuna mbinguni, hizi ni stori za kutungwa tu. Mataifa yanayoongoza kwa atheists na paganism ndio yanaongoza kwa tajiri kwanini Mungu asiyaangamize hayo mataifa pamoja na shetani. Mkuu bible na Qur'an ni vitabu tu kama kitabu cha biological science. Mungu ni mkubwa na hana ubaguzi ila mbinguni/ peponi kandaa makazi ya walio wema na wabaya kawaandalia moto 😂😂😂 ? . Mbona sio logical na kwanini asiyaangamize mashetani tuishi kwa amani ?Mwisho wa siku mara paap hamnaga mbinguni
Ukimwi ni ugonjwa.Ila unaamini ukimwi upo, siyo?
Hivi kati ya yesu na babake nani alipita Veta ? Cause one of them was a carpenter right ?Siyo kweli kwani huwezi kuyemganisha yesu na biblia nina imani yesu hakuwepo ,hayupo na hatakaa awepo ni fiction za wazungu tu juu ya waafrika