Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,710
- 2,698
Kristo ni Roho wa Mungu anayepatikana poteKwa ushahidi upi mtumish?
Kristo ni Roho wa Mungu anayepatikana poteKwa ushahidi upi mtumish?
Una uhakika kila mtu kamkili KRISTO?Kristo ni Roho wa Mungu anayepatikana pote
Haiwezekani kuwa kila mtu, lakini kuishi na Kristo siyo lazima usome Bible au upitie dini ya KikristoUna uhakika kila mtu kamkili KRISTO?
Unaongea kitu ambacho hukijuiHaiwezekani kuwa kila mtu, lakini kuishi na Kristo siyo lazima usome Bible au upitie dini ya Kikristo
Wewe unachokijua ni kipi?Unaongea kitu ambacho hukijui
Wale wasiojiamini katika imani hasa wale watumiao nguvu kueneza imani yao.Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
Kwa ujinga huu uliouandika sidhani kama kuna jambo lolote lingine huko uliko unalifanya kwa ufasaha. Kiwango chako cha elimu ni kidogo sana.1) UISLAM
Ukiwa Muislam una uwanda mpana wa kufanya analysis ya mafundisho ya Mungu pamoja na manabii Kwa sababu uislam unaamini na kuwakubali manabii wote pamoja na vitabu vyao
Hivyo Muislam hana limitation katika mafundisho ya manabii na vitabu vyao
Siku mtume Muhammad alipofunuliwa habari za Musa kuhusu kugawanyisha bahari Kwa fimbo yake akasema Ee Allah hawa watu wangu nikiwapa hizi habari wataamini kweli maana kipindi hicho Kila alichokuwa anafunuliwa watu walikuwa wanamuona Muongo
Allah akamwambie waulizeni wanaojua ikiwa nyinyi hamjui Yani wawaulize Wana wa Israel kuhusu hizo habari
2) UKRISTO
Ni dini ambayo Ina limitation nyingi katika kuamini kwao na mafundisho Yao na haya yanatokea Kwa sababu dini yenyewe imeanzishwa Kwa ujanja ujanja na ndio maana ukimbana sana mkristo Kwa maandiko anakimbilia Kwa roho mtakatifu kuwa ndio anayewaongoza
Wakati roho mtakatifu alishamaliza kazi zake za kuleta ufunuo Kwa manabii
Ukichukua wakristo 100 ukiwauliza Yesu ni nani Kila mmoja atatoa jibu lake wapo watakao Sema
A)Yesu ni mwana wa Mungu
B)Yesu ni Mungu
C)Yesu ni mmoja katika Miungu 3
D)Yesu katumwa na Mungu aje kufa
E) Yesu ndio Mungu mkuu
Hi ni Kwa sababu walioanzisha hii dini Kuna vitu wamevificha Ili malengo Yao yafanikiwe
Yesu ameishi Nazareth Kwa muda wa miaka 33 lakini Bibilia inamuelezea Yesu Kwa maisha yake ya miaka 3 tu vipi hi miaka 30 ya nyuma alikuwa anafanya Nini?
Hakuna sehemu katika Bibilia inayosema kuwa Yesu alikuwa anatumwa dukani na mama yake akanunue unga wa ngano na mafuta ya taa
Hakuna sehemu yoyote inayosema kuwa Yesu alikuwa anacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
Sio kama walisahau kuweka historia ya maisha ya Yesu Kwa kuanzia mwaka 0 Hadi 30 ila ni mpango mkakati
3) UYAHUDI
Uyahudi ni uislam uliokataa kufuata mafundisho ya mtume Muhammad
Wayahudi wanajua kuwa ukristo ni dini ya uongo na uislam ni dini ya kweli kinachowafanya wasifuate mafundisho ya mtume Muhammad ni jeuri tu hakuna kingine
Wakati mtume Muhammad anafunuliwa kitabu Cha Quran
Makafiri wa Maka walienda Kwa Wayahudi kutaka ushauri watumie njia gani ilikuthibisha kuwa Muhammad ni mtume wa Mungu au anawadanganya
Wayahudi wakawapa mbinu wakawambia muulizeni habari za watu wa mapangoni kama atakujibuni basi yeye ni mtume kweli
Watu wa mapangoni ni wachamungu ambao walichukia maasi katika mji wao wakaenda kuishi mapangoni Mungu akawalaza usingizi Kwa muda wa miaka 300 na hili jambo halipo Katika vitabu vya kale ila ni jambo maharufu ambalo wayahudi wote walikuwa wanakijua
Allah alimfunulia mtume Muhammad kuhusu hawa watu habari zote
Hiki kisa kipo katika surati Ka hafu
Kwahiyo wayahudi wanajua kabisa kuwa Muhammad ni mtume wa Mungu na Quran ni kitabu Cha Mungu ila jeuri ndio inayowasumbua
Isije ikawa wewe ndio mjingaKwa ujinga huu uliouandika sidhani kama kuna jambo lolote lingine huko uliko unalifanya kwa ufasaha. Kiwango chako cha elimu ni kidogo sana.
Mzeebaba hapo sahihi ni A tu, halafu hapo D unaposema ametumwa kuja kufa, ni nini sasa hiyo! Yaani Yesu aje Duniani sababu yake ya kuwepo hapa ni kufa tu! Haupo serious wewe, hebu weka maelezo vizuri pengine utaeleweka.Isije ikawa wewe ndio mjinga
Maana mjinga namba Moja ni mtu ambaye hata Mungu wake aliyemuumba hamjui
ebu niambie wewe unaamini lipi kati ya haya Ili tuone wewe ni mjinga au sio mjinga
A)Yesu ni mwana wa Mungu
B)Yesu ni Mungu
C)Yesu ni mmoja katika Miungu 3
D)Yesu katumwa na Mungu aje kufa
E) Yesu ndio Mungu mkuu
Mimi ni Muislam naamini Yesu ni binadamu kama Mimi tu ila yeye ni nabii wa Mungu
Mawazo yao Yako sahihi.mbinguni si kwajili ya wakristo au waislam bali ni kwa watu wema.
Wote hawaendi mbinguni. Anayekwenda mbinguni ni yule tu aliyetubu, kumwamini na kumpokea Yesu Kristo kama bwana na mwokozi wake binafsi. Mungu hajaleta dini yoyote kwa wanadamu bali alikuja yeye mwenyewe. Hivyo asiyemkubali hawezi kuingia mbinguni maana Yesu ni njia. Sasa bila njia utafika vipi mbinguni?Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
WARUMI 2:13 kila mtu atahukumiwa kwa nuru alizopewa.huwezi kuhukumiwa km huna hyo nuru
Hivi nyie mngezaliwa miaka ya 1900 mngekuwa dini gani??Wote hawaendi mbinguni. Anayekwenda mbinguni ni yule tu aliyetubu, kumwamini na kumpokea Yesu Kristo kama bwana na mwokozi wake binafsi. Mungu hajaleta dini yoyote kwa wanadamu bali alikuja yeye mwenyewe. Hivyo asiyemkubali hawezi kuingia mbinguni maana Yesu ni njia. Sasa bila njia utafika vipi mbinguni?
Siyo kweli kwani huwezi kuyemganisha yesu na biblia nina imani yesu hakuwepo ,hayupo na hatakaa awepo ni fiction za wazungu tu juu ya waafrikaNeno la Mungu siyo Biblia.
Neno la Mungu ni Kristo, na Kristo anapatikana popote