Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba.
Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba...
, Siku hizi imekuwa ni kawaida sana wazazi kujua kijana wao ana boyfriend ama girlfriend na wazazi hawana shida.
Hapo wazazi wanajua kabisa kwamba vijana wanasex ila wanaona ni sawa tu, na hii imepelekea wazazi wawe wanawapa vijana sex edication kuwaasa watumie mipira (condom), ila muda huo huo...
Wasalaam JF,
Nichukue fursa hii kuhoji uwepo wa JKM kwenye hafla ya wasabato je yeye mwanasiasa alienda kufanya nini kwenye hafla ya dini ya wengine? Je, Huyo Rais wenu alienda makanisani kufanya nini?
Hii mbinu ya kudhani mtawagawa wakristo wakati nyie mmekula kiapo cha pamoja cha kuunga...
WAKRISTO HAWAHITAJI SENSA KUJUA IDADI YAO. KWA SABABU UKRISTO WENYEWE NI HESABU.
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Moja ya mafundisho makuu katika Ukristo ni fundisho la Hesabu. Ukristo hauwezi kukamilika bila hesabu Kwa sababu hesabu ni sehemu ya Ukristo.
Jukumu kuu la Ukristo Duniani ni...
Ufunuo 12:1
"Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!"
Luka 1:26
"Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya, kwa msichana mmoja...
Zama za leo ni tofauti kabisa na zama za mababu zetu. Ukisoma vitabu vya dini utagundua kuwa mazishi hayakuhitaji hata majeneza. Mfano Lazaro inaonesha alizikwa tu na sanda pasi na jeneza.
Leo hii watu wanashindana hadi kwenye gharama za majeneza. Hivi kwanini basi majeneza yote yasiwe yenye...
Wasalaam JF,
Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe.
Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
GENTAMYCINE ( alias East African Brain ) ni Mkristo tena wa Dhehebu la Katoliki ila leo hii ( Usiku huu ) bila ya Unafiki nasema wazi kuwa Ndugu zetu Waislamu ni Watu Waungwana, Wastaarabu na Wavumilivu sana, ila Wakristo ni Wanafiki na Wabinafsi mno.
Nina uhakika wa 100% kuwa Waislamu nao...
MAENEO AMBAYO WAISLAM WANAWAPIGA BAO WAKRISTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Watibeli tunazichukulia dini kama shule na vyuo ambavyo hupika wafuasi wao na kutengeneza imani kupitia mafundisho Yao. Watibeli tunajua dini zote lengo lake ni Maadili na sio zaidi ya hivyo. Watibeli tunajua Dini...
Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha...
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo...
Hivi kuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyekufa na Maiti yake ikaa zaidi ya siku moja bila kuzikwa?
Waisilamu wao mtu akifa huzika siku hiyohiyo,lakini Wakristo wanaweza kukaa na mwili wa marehemu zaidi ya siku moja,Je ni upi utaratibu wa Mungu?
Nimefurahi sana kusikia NEMC wameanza kuwashughulikia wapiga kelele wanaosababisha zogo mtaani na kuwafanya raia wengine wakose raha na utulivu. Kipekee kabisa naomba NEMC wamulike zaidi makanisa, misikiti, vigodoro na wauza muziki (wezi wa kazi za wasanii) kwani hawa ndio wamekithiri kwenye...
Habari zenu ninyi nyote.
Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri?
Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au?
Pia, hiyo ndoto au maono, utajuaje kuwa vinatoka kwake, na ni yeye ndiye anayesema nawe?
Utajuaje si shetani...
Na ni katika haya makanisa ya wachungaji wa mchongo, wanawake wamekuwa mitaji kwakuwa ni wepesi sana kuwachezea kiimani wakakuamini na ukawafanya chochote.
Yani wanawake wakishaona mtu anaruka ruka anapiga makelele huwaambii kitu hapo wanajua ni kweli ni mapepo wanamuona mchungaji ni kama...
Kituo cha Wasafi media kinamilikiwa na Muislamu, na kila Jumapili huwa kinapeperusha kipindi cha Kikristo.
Leo hapa naona pamenoga kweli kweli Wakristo wamejumuika na kumsifu Yesu kwa upendo, hapa nawaza dini zingine unakuta hata mgahawa ukimilikiwa na mtu asiye wa dini hiyo hawawezi hata...
Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka,
Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
Bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa.
Sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama;
Mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali.
Kwenye ndoa za kikristo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.