Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC
Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ?
Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe...
Kama sio unafiki basi waanzilishi wa hizi dini waliiba mababu wa watu ili wakubalike lakini ukweli ni kuwa hazina uhusiano kabisa na Wayahudi.
Kama wangekuwa na uhusiano nao wangewapenda wajukuu wao.
Na tena kama hiyo dini nyingine kabisa ikaamua kuiba Hadi maandiko ya kiyahudi na kuyageuza...
Mkristo anayejielewa anatakiwa kuweka sawa uhusiano wake na BABA yake aliye MBINGUNI na kuwa na ujasiri wa kuongea na Mungu kama "Abba".
Siku hizi kuna usanii wa maombezi na watu wahuni tu wanapiga pesa kwa kuwashawishi wajinga kwamba wana uwezo wa kuwaombea watu kwa Mungu. Upumbavu au niuite...
Vita vya Gaza vilivyoanzia na mashambulizi ya Hamas ya oktoba 7 yakiwa ndio makubwa kwa miaka 75 katika kutetea ardhi za wapalestina kumeibua mambo mengi yaliyokuwa hayakujulikana na wengi mwanzo.
Miongoni mwa mambo hayo ni kuweza kuzitofautisha imani za dini ya kiislamu, kiyahudi na ukristo...
Wala sikejeli maana kunywa ni ruksa, kucheza ni ruksa na mavazi yoyote waweza vaa maana kinachoangaliwa ni roho.
Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi kuanzisha night club za makanisa ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi?
Ndani ya...
Baraza la mji wa Bethlehm alipozaliwa nabii Issa (Yesu) limeamua kubomoa mapambo yote ya krismas yaliyopo eneo hilo ili kuomboleza vifo vya watoto huko Gaza na mauwaji yanayoendelea maeneo yanayowazunguka.
Huku mainjinia wa mji huo mtakatifu wakiendelea na kazi ya kubomoa aina zote za mapambo...
Nimeshasikia mara kadhaa mahubiri yenye maneno yanayofanana na haya:
1. "Ole wenu wahubiri mnaowahubiria watu uponyaji na mafani"
2. "Makanisa ya siku hizi yanahubiri mafanikio tu"
3. N.k.
Ni kosa Wakristo kufundishwa jinsi ya kufanikiwa kifedha na kuwa na afya njema?
Kuna ubaya wo wote kwa...
Kama kinavyosema kichwa cha habari hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini walokole wengi sio wote hali zao za kipato sio nzuri japokua kwenye biblia wameahidiwa baraka nyingi sana na Mungu na huku watu wanaoishi maisha yasiyompendeza Mungu wanamaisha mazuri na familia zao...
Padri Georges Abed wa Chile amesema mtu akitaka kumuuliza yeye kuhusu Gaza, Hamas, mauwaji na umwagikaji damu basi asifanye hivyo kwa kumchorea picha yenye ukubwa wa inchi kadhaa. Lazima achore picha kubwa ambayo itaonesha mpaka miaka 75 iliyopita.
Chile ni moja ya nchi za Latin America ambazo...
Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam.
Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam.
Mbaya zaidi wananchi wenyewe walivyo wapumbavu wanaona ni jambo la kufurahisha kila dini...
Kipindi chote ambapo Marekani imekuwa taifa kubwa ushawishi wa wayahudi nchini humo umekuwa mkubwa. Ushawishi wa Marekani nao kutoka na nguvu za kiuchumi umeweza kudhibiti hata mawazo na tamaduni za nchi changa na zile zinazoendelea.
Madhehebu za dini ya kikristo zilizo katika nchi ya Marekani...
Tunaendelea kuomba amani gaza.
Mungu alipomuita ibrahimu aliahidi kupitia uzao wake dunia nzima ibarikiwe. Uzao wake alimaanisha Yesu kitukuu cha vitukuu wa adam.
Sasa Yesu anapokufa na kufufuka mfumo unabadilika. Muisrael au mtoto wa Ibrahim ni yule atakayemuamini Yesu.
Hivyo hawa wanaojiita...
Kutoka mitandaoni...
TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO.
Na Joshua Ntagala
Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu,
utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu kwa maana ya kwamba limetengwa kwa ajili ya matumizi ya Mungu(ardhi yake,watu wake, wametengwa kwa...
NAFASI YA MKRISTO KATIKA VITA YA ISRAELI NA PALESTINA.
Shalom.
Juzi Palestina kupitia wanamgambo wa Hamas wameanzisha mashambulizi juu ya Israel, na inasemekana ni mashambulizi makubwa kuwahi kushambulia na kufanikiwa kuwaua Waisraeli zaidi ya 300 na wengine zaidi 100 kujeruhiwa, idadi hiyo...
Polisi Jumatano waliwakamata Wayahudi watano wa Orthodox kwa tuhuma za kuwatemea mate waumini wa Kikristo katika Jiji la Kale la Jerusalem, huku kukiwa na ongezeko la matukio yanayowalenga makasisi na mahujaji katika mji mkuu.
Wakati huo huo, Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir...
Sina Mengi zaidi ya kusema sote tumesoma Habari za Mchungaji wa huko mbeya kuhukimiwa miaka 3 kisa tu.
Ni usajili wa kanisa( ilikuwa Bado/au alinyimwa)Hivi kweli Tumefika Hapa Tz.
Japo kuwa Mwakipesile alikuwa anajiongelea mambo mengi yasiyo Kuwa na faida Angepuuzwa tu maana sio threat kwa...
Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu.
Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je...
Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya!
Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!.
Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi"
Kiranga ni nani?
Huyu ni jamaa ambaye...
Mama anaezungumza kwa niaba ya Wakristo wa Kanisa la Anglikana Zanzibar (Kanisa mama), anasema hawataki tena kuchukua maelekezo kutoka Dodoma au kwa Askofu Mkuu Dkt. Maimbo Mndolwa ! Anasema ni vyema sasa wakawa na utaratibu kama wa ndugu zao Waislam wa Zanzibar ambao taasisi yao haipokei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.