Kwa nini Muhamad Wakristo wanamdharau, hawana hata Habari naye na hata heshima ipasavyo hawampi?

Kwa nini Muhamad Wakristo wanamdharau, hawana hata Habari naye na hata heshima ipasavyo hawampi?

Status
Not open for further replies.

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Ukiacha kuwa Biblia haikuwahi kumzunguzia utasema ok. Ni sababu yeye alikuja miaka 600 plus baadaye. Lakini pia hakuwa na umuhimu katika Uyahudi na Ukristo. Yaani Biblia imemzungumzia hata mtu mpumbavu ikamwacha Mohamed.

Nyie Wakristo kwa nini hata heshima hamumpi? Mnakaa kumtuhumu tu shutma nyingi nyingi mara vile mara hivi. Mbona yeye anawataja na vitabu vyenu?nyie mmeamua kumpotezea?

Na hata Quran na mambo yake mmnaipotezea. Mkiambiwa Issa ndo Yesu hamtaki, mkiambiwa Allah ndo Mungu wenu hamtaki na hamumtaki. Ninyi kifupi hamtaki kujihusisha na habari yoyote from Quran na mambo yake.

Mnanikumbusha ule msemo wenu wa NAMKATAA SHETANI NA MAMBO YAKE.
Mohamad kuoa mtoto wa miaka 6 hayo ni mambo binafsi msichukulie personal. Au kumwona yule Mama Mtu Mzima sana Tajiri Bi Khadija.

Ni mambo binafsi. Mambo ya kulala na Mateka wa kike si issues za kukomaa nazo sana. Angalau naye mumpe kaheshima hata kidogo. Ninyi mnamchukulia kama Nabii Tito wa Tz? Si sawa. Muhamad ana wafuasi zaidi ya Billion moja ana watu jamani.

Mtasema na shetani naye anawafuasi wengi? Anyway. Sawa Biblia haimtambui, hatambuliki popote katika Ulimwengu wenu basi sasa mmekuja mfahamu mumheshimu hata kidogo.
 
Unatafuta jina la Muhammad kwenye Biblia? Biblia ni nini? Hebu leta andiko linalotambua kuna kitabu kinachoitwa Biblia, ukikosa andiko tuambie hiyo Biblia nyie mmeitoa wapi?
 
Mtoa Mada kwani ulimsikia nani anamkashifu Muhammadi hadharani ?
Ukiona hivyo ujue tunawaheshimu ndugu zetu na kumsitiri Mtume wao pia.

Kuhusu Mada hapo juu.
Hili ni jukwaa la dini kama hulioni linakufaa tembelea majukwaa mengine:

Kuhusu Mtume:
Wakristo tumeambiwa Neno la Kristo ndio mwisho wa habari za Ufalme wa Mbingu.
Kristo ndiye Alfa na Omega yaani Wa Mwanzo na Wamwisho.
Soma:

Wagalatia 1:3
Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba, na kwa Bwana wetu Yesu Kristo;
4 ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili ya dhambi zetu, ili atuokoe na dunia hii mbovu iliyopo sasa, kama alivyopenda Mungu, Baba yetu.
5 Utukufu una yeye milele na milele, Amina.
6 Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine.
7 Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo.
8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.
9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.

Imani yetu inaishia hapa:
Warumi 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
 
Mada nzuri sana hizi waislamu ukiwanyamazia wanakupanda kichwani ....mnak7mbuka wak8na FaizaFoxy na wenzie ? Sikuizi wamekimbia na wakiona nyuzi za hivi ni kuomba JF kuzifuta baada ya kugundua upuuzi wa dini zao
Secural state msituchanganye kwenye migogoro yenu
 
Mada nzuri sana hizi waislamu ukiwanyamazia wanakupanda kichwani ....mnak7mbuka wak8na FaizaFoxy na wenzie ? Sikuizi wamekimbia na wakiona nyuzi za hivi ni kuomba JF kuzifuta baada ya kugundua upuuzi wa dini zao
Kwani mkuu wewe ni dini gani hasa maana sikuelewi
 
Unatafuta jina la Muhammad kwenye Biblia? Biblia ni nini? Hebu leta andiko linalotambua kuna kitabu kinachoitwa Biblia, ukikosa andiko tuambie hiyo Biblia nyie mmeitoa wapi?
Pambana na babu wa kiarabu..............bibilia haina shida na wewe fanya yako.........mnamuita asw wenzenu wanamuita mudi........mtu aliyejaa kariba ya ngono .........mke wa kwanza mtu mzima kuliko yeye kisa huyo mke tajili.........mara kitoto cha miaka 6 kapita nacho .......mara mtalaka wa mtoto wake kapita naye....ndio maana waislam hamuishi nongwa na wengi wenu ni washamba sana wa kuamini.........mara ooh dini ya haki.........nataka muislam mmoja anayejua dini anipe mtoto wake wa miaka 6 mahari atachagua yeye ....
 
Mada nzuri sana hizi waislamu ukiwanyamazia wanakupanda kichwani ....mnak7mbuka wak8na FaizaFoxy na wenzie ? Sikuizi wamekimbia na wakiona nyuzi za hivi ni kuomba JF kuzifuta baada ya kugundua upuuzi wa dini zao
Kabla sijatoka kwenye uislamu tulikuwa tunawadanganya sana wakristo. Ulaghai tu na utapeli.wakitaka nilete mengi nitaleta
 
Pambana na babu wa kiarabu..............bibilia haina shida na wewe fanya yako.........mnamuita asw wenzenu wanamuita mudi........mtu aliyejaa kariba ya ngono .........mke wa kwanza mtu mzima kuliko yeye kisa huyo mke tajili.........mara kitoto cha miaka 6 kapita nacho .......mara mtalaka wa mtoto wake kapita naye....ndio maana waislam hamuishi nongwa na wengi wenu ni washamba sana wa kuamini.........mara ooh dini ya haki.........nataka muislam mmoja anayejua dini anipe mtoto wake wa miaka 6 mahari atachagua yeye ....
Nimeuliza swali Biblia ni nini? Leta andiko linalotambua kuna kitabu kinachoitwa Biblia, sasa unaandika gazeti refu ila sijaona ukijibu swali au umeshajua hamna hilo andiko linalotambua kitu kinachoitwa Biblia umepanic?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom