Wakristo washerehekea Pasaka chini ya kipigo kikali cha mayahudi huko Gaza.70 wafa kote.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Siku ya Pasaka ni moja ya siku za kuheshimika kwa wakristo kote duniani.Lakini kwa watu wa Gaza wa madhehebu ya kikristo na waislamu imekuwa ni moja ya siku chungu kwao baada ya watu zaidi ya 70 kuuliwa kwa siku moja maeneo mbali mbali ya ukanda huo wa Palestina.

Katika siku hiyo ya Pasaka jeshi la Israel lilipiga kwa makusudi hospitali ya kikristo ya Al ahli ambayo inajihusisha zaidi na matibabu ya watoto.Mtoto mmoja alifariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa sambamba na uharibifu wa miundombinu ya hospitali hiyo.

Maeneo mengine ya Gaza watu walikouliwa ni pamoja na kwenye mahema na magofu ya majumba watu walikokuwa wamejihifadhi ambapo jumla ya waliokufa inafikia 70 kwa siku hiyo moja ya Pasaka.

Palm Sunday begins in Gaza with Israeli missiles on Christian hospital and church​

Toka lini Yahudi aliheshimu Ukiristo hawa vilaza humu wao wanamshangilia Yahudi sababu basi kama ilivyo tueleza Qur'an hawawezi kuwa radhi na Waislam mpaa tufate mila zao na desturi zao.

Uislam unge halalisha zina na riba pamoja na ulevi wangekuwa hawana shida na sisi. Uislam ungehalalisha ushoga, kusikiliza nyimbo na kwenda kwenye ma disco wala wangekuwa hawana shida na Muislam kuliko hata Yahudi. Ukristo ni kujiweka mbali na amri za Mungu.

Si bora hata Yahudi anamheshimu kidogo Muislam kuliko Mkristo
 
Wapumzike kwa amanii wote waliotanguliaa mbele z haki

Wakristo wana uhuru uliopindukia wa kuabudu huko Saudi Arabia kuliko kwa mayahudi I think. Huwa mnafikiria kwa kutumia nini?
 
Kwa kuwakimbia mayahudi si ndio maana wakristo wakakimbilia Italy.Jerusalem wapo waislamu zaidi na makanisa imekuwa kama kivutio cha utalii basi.
 
Wakristo wana uhuru uliopindukia wa kuabudu huko Saudi Arabia kuliko kwa mayahudi I think. Huwa mnafikiria kwa kutumia nini?
Wayahudi waliomba askari mkiristo asifanyiwe taratibu za mazishi ya kikristu kwenye makaburi ya askari baada ya kuuawa Gaza, maana kwao wayahudi ukristu ni kufuru kubwa
 
Kwamba leo muislam anatetea wakristo wa gaza aaahaahaah ila mavaa kobaz bhana kwmb nyie mnawapenda wakristo? Daftari mlilopewa na mudi mtume wa allah shetani si limewambia msiwe na urafk na wakristo na muwaue kbs leo unawatetea una ajenda gn wewe mfuasi wa allah shetani.
 
kama ilivyo kwa waislam si mnawaita makafiri so leo mnatetea makafiri hv mna ajenda gn nyie.
 
Kwamba leo muislam anatetea wakristo wa gaza aaahaahaah ila mavaa kobaz bhana kwmb nyie mnawapenda wakristo? Daftari mlilopewa na mudi mtume wa allah shetani si limewambia msiwe na urafk na wakristo na muwaue kbs leo unawatetea una ajenda gn wewe mfuasi wa allah shetani.
Tunachofanya ni kuwaonesha tu nyinyi kwa mayahudi hamna thamani ni sawa na sisi ijapokuwa nyinyi wa huku kwetu hamjijui.
Kuhusu ukafiri utaendelea kama hivyo ikiwa mtabaki kuamini kuwa Yesu ni Mungu.
 
wewe knachokuuma ni nn? Unaonaje ukikomaa na imani yako tu unapungukiwa nn, WEWE UNATHAMANI GANI KWA WAARABU je ni kweli waarabu wanawathamin waafrika ksa dini sema ukweli.
 
Toka lini Yahudi aliheshimu Ukiristo hawa vilaza humu wao wanamshangilia Yahudi sababu basi kama ilivyo tueleza Qur'an hawawezi kuwa radhi na Waislam mpaa tufate mila zao na desturi zao.

Uislam unge halalisha zina na riba pamoja na ulevi wangekuwa hawana shida na sisi. Uislam ungehalalisha ushoga, kusikiliza nyimbo na kwenda kwenye ma disco wala wangekuwa hawana shida na Muislam kuliko hata Yahudi. Ukristo ni kujiweka mbali na amri za Mungu.

Si bora hata Yahudi anamheshimu kidogo Muislam kuliko Mkristo
Nani kakuambia tunahtaji heshima ya myahud. Tunawapq heshima maana ndio kiboko ya magaidi. Hata kristo akiwa gaid apewe kichapo
 
Siku ya Pasaka ni moja ya siku za kuheshimika kwa wakristo kote duniani.Lakini kwa watu wa Gaza wa madhehebu ya kikristo na waislamu imekuwa ni moja ya siku chungu kwao baada ya watu zaidi ya 70 kuuliwa kwa siku moja maeneo mbali mbali ya ukanda huo wa Palestina.

Katika siku hiyo ya Pasaka jeshi la Israel lilipiga kwa makusudi hospitali ya kikristo ya Al ahli ambayo inajihusisha zaidi na matibabu ya watoto.Mtoto mmoja alifariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa sambamba na uharibifu wa miundombinu ya hospitali hiyo.

Maeneo mengine ya Gaza watu walikouliwa ni pamoja na kwenye mahema na magofu ya majumba watu walikokuwa wamejihifadhi ambapo jumla ya waliokufa inafikia 70 kwa siku hiyo moja ya Pasaka.

Palm Sunday begins in Gaza with Israeli missiles on Christian hospital and church​

Uandishi wa kichonganishi.Kwa hiyo risasi na mabomu vililenga wakristu tu?
 
Nani kakuambia tunahtaji heshima ya myahud. Tunawapq heshima maana ndio kiboko ya magaidi. Hata kristo akiwa gaid apewe kichapo
Gaidi ni yule anaye tetea ardhi yake au alio vamia ardhi ya mwenzake

Pumbafu mmoja wewe.
 
Kwan.wayahud hawakuwepo au unafikiri mwenye ardhi ni mwarabu tu.jinga kabisa. Walikuwepo waarabu wayahud Samaritans druze na mabedui kwa taarifa yako. Na pamoja na hivyo hizo jamii zote zinaish Israel kwa aman ila hawa magaid tu ndio wahawatak wacha wakalie moto.
 
Back
Top Bottom