Wakristo washerehekea Pasaka chini ya kipigo kikali cha mayahudi huko Gaza.70 wafa kote.

Wakristo washerehekea Pasaka chini ya kipigo kikali cha mayahudi huko Gaza.70 wafa kote.

Hao jamaa hapo wanakatazwa wasipost wakipigwa na myahudi ,ila muislamu wakipigw chafya tu MK254 kashakuja kupost ..Ila Myahudi anatuliza tumbo lake la mbege.
 
Toka lini Yahudi aliheshimu Ukiristo hawa vilaza humu wao wanamshangilia Yahudi sababu basi kama ilivyo tueleza Qur'an hawawezi kuwa radhi na Waislam mpaa tufate mila zao na desturi zao.

Uislam unge halalisha zina na riba pamoja na ulevi wangekuwa hawana shida na sisi. Uislam ungehalalisha ushoga, kusikiliza nyimbo na kwenda kwenye ma disco wala wangekuwa hawana shida na Muislam kuliko hata Yahudi. Ukristo ni kujiweka mbali na amri za Mungu.

Si bora hata Yahudi anamheshimu kidogo Muislam kuliko Mkristo
Hata sisi waafrika tuko vizuri sana kwa utamaduni wetu kwani tunapinga sana mambo ya ushoga na zinaa lakini mambo ya muziki ni jadi zetu na hatuwezi kuacha.

Na mambo ya riba hatukatazi kwani ni maelewano ya pande husika. Hatuwajibiki kwa njia yoyote kufuata utamaduni wa watu wengine.
 
Mleta uzi, tukiachana na "ukatiri" wa Wayahudi, ni wapi kwenye uzi ulipoona kwamba hiyo strike imeua WAKRISTO? Is a Christian hospital, Christian hospitals doesn't care Christians only, hata bongo ni hivo, ile hospital maarufu ya makete inatibu wapagani, Waislamu na Wakristo pia, Bugando, KCMC as well. Nisaidia mstari 1 tu unao onesha kwamba shambulio lile limeua Wakristo/Mkristo.
Kitu pia nilicho endelea kujifunza hapo kwa Wakristo, "the building was used to shelter all" yaani majengo ya taasisi za Kikristo yanahifadhi wanao kimbia vita. Kuna jengo la Kiislam linaweza kuruhusu hilo kweli? Again, kwenye hiyo article, walitoa tahadhari ya watu kuondoka hapo, bila shaka walio tii waliyaponya maisha yao, wabishi ndio hivo tena. Kama military intelligence imeona kuna kitisho hapo, unadhani wapiganaji wanafanyaje? Watashambulia tu, noway. Siwapongezi IDF lakini pia, siwalaumu. Nani asie jua mbinu za magaidi? Watajificha anywhere wanapo dhani wapo salama, watahifadhi hata silaha zao eneo wanalo dhani ni salama, ndio kazi ya military intelligence hiyo kaka, hakuna cha ajabu hapo
 
Uandishi wa kichonganishi.Kwa hiyo risasi na mabomu vililenga wakristu tu?
Lazima uelewe kuwa nyinyi wakristo mnaisifia sana IDF kuwa inalenga magaidi na ina silaha zenye precision ya hali ya juu.
Hapo umeona kuwa hizo silaha alizilenga uwelekeo wa hospitali na kanisha na kusababisha vifo na madhara mengine.Sasa una kipi cha kutuambia hapo.
Waislamu ndio wengi waliokufa siku hiyo lakini si alijua ni siku ya wakristo kubaki nyumbani.Mbona aliwapiga?
 
Ukristo ulikuwepo Palestina kabla ya Uislamu. Nchi zote za mashariki ya kati Lebanoni, Syria, Palestina, Israeli,Jordan nk kuna waislamu na wakristo na wanaishi kwa amani kabisa. Tatizo ni hawa wanaharakati wa kidini wenye imani kali.
 
Uislamu ndio dini ya mwanzo na itabaki mpaka mwisho duniani.
Yesu mwenyewe hakuwa mkristo bali alikuwa muislamu.
 
Uislamu ndio dini ya mwanzo na itabaki mpaka mwisho duniani.
Yesu mwenyewe hakuwa mkristo bali alikuwa muislamu.
Uislamu siyo dini ya mwanzo. Kabla ya Uislamu kulikuwa na dini zingine ambazo sasa hazipo. Hata Uislamu unaweza kupotea zikaibuka dini zingine
 
Israeli forces restrict Christian worshippers in Jerusalem’s Old City on Holy Saturday: Report​

Uislamu siyo dini ya mwanzo. Kabla ya Uislamu kulikuwa na dini zingine ambazo sasa hazipo. Hata Uislamu unaweza kupotea zikaibuka dini zingine
Sisi tukisema tuna ushahidi kamili.
Wewe porojo hizo umezitolea wapi
 
Toka lini Yahudi aliheshimu Ukiristo hawa vilaza humu wao wanamshangilia Yahudi sababu basi kama ilivyo tueleza Qur'an hawawezi kuwa radhi na Waislam mpaa tufate mila zao na desturi zao.

Uislam unge halalisha zina na riba pamoja na ulevi wangekuwa hawana shida na sisi. Uislam ungehalalisha ushoga, kusikiliza nyimbo na kwenda kwenye ma disco wala wangekuwa hawana shida na Muislam kuliko hata Yahudi. Ukristo ni kujiweka mbali na amri za Mungu.

Si bora hata Yahudi anamheshimu kidogo Muislam kuliko Mkristo
Lini mayaudi yakaheshimu uislam
 
Siku ya Pasaka ni moja ya siku za kuheshimika kwa wakristo kote duniani.Lakini kwa watu wa Gaza wa madhehebu ya kikristo na waislamu imekuwa ni moja ya siku chungu kwao baada ya watu zaidi ya 70 kuuliwa kwa siku moja maeneo mbali mbali ya ukanda huo wa Palestina.

Katika siku hiyo ya Pasaka jeshi la Israel lilipiga kwa makusudi hospitali ya kikristo ya Al ahli ambayo inajihusisha zaidi na matibabu ya watoto.Mtoto mmoja alifariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa sambamba na uharibifu wa miundombinu ya hospitali hiyo.

Maeneo mengine ya Gaza watu walikouliwa ni pamoja na kwenye mahema na magofu ya majumba watu walikokuwa wamejihifadhi ambapo jumla ya waliokufa inafikia 70 kwa siku hiyo moja ya Pasaka.

Palm Sunday begins in Gaza with Israeli missiles on Christian hospital and church​

Kwa taarifa yako tu mimi Niko huku toka April 08,2025 na nitakuwa huku mpaka mwisho wa mwezi hawa watu ni waongo waongo sana kama baba yao Shetani alivyo.
Hakuna aliyekatazwa kuabudu sehemu yoyote mimi na wenzangu tumeingia mpaka kwenye eneo la msikiti wa Al-agsa tu elita na picha Tukiwaambia eneo hilo jana tuli kuwa kwenye njia alivyo pita Yesu akienda kusurubiwa hawa watu uongo kwao ni kawaida sana nią yao kubwa sisi tu wa huknie wayahudi kama wanavyowachukia wao.
Ni kweli huko Gaza kuna watu zaidi ya 87 waliuwawa jana baada ya magaidi kutumia hospital na Mahema wanakokaa raia kupigwa na kombola. Ambalo lilisikika mpaka ndani kabisa ya Israel na magaidi wengi sana waliuliwa sasa Ngoja niwaonyeshe picha za matukio tulikotembelea na hakuna aliyetuzuia wala kutubughuzi.
 
Attachments

  • v09044g40000cvvub2fog65m8vrl0neg.mp4
    34.7 MB
  • v09044g40000d001nmfog65sipggqtrg.mp4
    6.4 MB
  • v09044g40000d001dinog65ji2ktk45g.mp4
    33.7 MB
  • v09044g40000d00muhvog65ndctr8vj0.mp4
    20.3 MB
Toka lini Yahudi aliheshimu Ukiristo hawa vilaza humu wao wanamshangilia Yahudi sababu basi kama ilivyo tueleza Qur'an hawawezi kuwa radhi na Waislam mpaa tufate mila zao na desturi zao.

Uislam unge halalisha zina na riba pamoja na ulevi wangekuwa hawana shida na sisi. Uislam ungehalalisha ushoga, kusikiliza nyimbo na kwenda kwenye ma disco wala wangekuwa hawana shida na Muislam kuliko hata Yahudi. Ukristo ni kujiweka mbali na amri za Mungu.

Si bora hata Yahudi anamheshimu kidogo Muislam kuliko Mkristo
Acha Taqiyyah mjinga wewe
 
Inasemekana wahayud wana wapa kisago sana wakristo

Ni kweli?
Uongo mtupu angalia kuna video nimeziweka kwenye uzi namba # 36 zinaonyesha wazi kuwa hakuna lolote anaosema yeye ni magaidi waliopanga kufanya ugaidi siku ya Ijumaa kuu lakini waliuliwa!!
 
Wayahudi waliomba askari mkiristo asifanyiwe taratibu za mazishi ya kikristu kwenye makaburi ya askari baada ya kuuawa Gaza, maana kwao wayahudi ukristu ni kufuru kubwa
Wewe muongo sana na ndiyo maana ulichagua kuwa Mwislamu
 
Back
Top Bottom