Mleta uzi, tukiachana na "ukatiri" wa Wayahudi, ni wapi kwenye uzi ulipoona kwamba hiyo strike imeua WAKRISTO? Is a Christian hospital, Christian hospitals doesn't care Christians only, hata bongo ni hivo, ile hospital maarufu ya makete inatibu wapagani, Waislamu na Wakristo pia, Bugando, KCMC as well. Nisaidia mstari 1 tu unao onesha kwamba shambulio lile limeua Wakristo/Mkristo.
Kitu pia nilicho endelea kujifunza hapo kwa Wakristo, "the building was used to shelter all" yaani majengo ya taasisi za Kikristo yanahifadhi wanao kimbia vita. Kuna jengo la Kiislam linaweza kuruhusu hilo kweli? Again, kwenye hiyo article, walitoa tahadhari ya watu kuondoka hapo, bila shaka walio tii waliyaponya maisha yao, wabishi ndio hivo tena. Kama military intelligence imeona kuna kitisho hapo, unadhani wapiganaji wanafanyaje? Watashambulia tu, noway. Siwapongezi IDF lakini pia, siwalaumu. Nani asie jua mbinu za magaidi? Watajificha anywhere wanapo dhani wapo salama, watahifadhi hata silaha zao eneo wanalo dhani ni salama, ndio kazi ya military intelligence hiyo kaka, hakuna cha ajabu hapo