Kama mwezi umepita hivi, nilikuwa hapa mjini kwa majukumu ya kikazi. Ili kazi iende vizuri, ilinilazimu kukaa hotelini kwa muda wa siku nne hivi.
Baada ya kutoka kwenye majukumu, mida ya saa tatu usiku hivi, nilirudi hotelini, nikapiga maji kwanza ili kuondoa uchovu.
Baadaye nikaomba wahudumu...