Mimi ni mmoja wa Wakulima wa mahindi, kwa kawaida baada ya kuvuna Wakulima wengi huwa tunauza mazao hayo kwa Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).
Tangu Wakulima tuuze mazao yetu kwa Serikali mwezi Septemba 2024 mpaka sasa tunaelekea katikati ya Desemba 2024 hatujalipwa...
ZAIDI YA BILIONI 10 SKIMU YA UMWAGILIAJI MASIMBA KUNUFAISHA WAKULIMA 24,000 MKOANI SINGIDA
📍 NIRC Singida.
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini kupitia Tume ya Taifa ya...
Mimi ni Mkulima kutoka Mbinga mkoani Ruvuma, nimekuja mbele yenu nikiwa na changamoto ambayo kwa imani yangu najua kupitia nyie naweza kupata msaada ambao kimsingi sio tu utanisaidia pekee yangu bali sisi sote wenye hii changamoto.
Naomba sauti hii ifike kwa Wizara ya Kilimo na ngazi ya juu ya...
Mtandano wa vikundi vya wakulima na Wafugaji Mkoa wa Arusha (MVIWAARUSHA), Waandaa tuzo za waandishi wa habari kwenye mfumo endelevu wa chakula na kilimo ikolojia, zenye lengo la kutambua na kusherehekea uandishi wa habari uliotukuka kwenye masuala muhimu yanayohusiana na kilimo endelevu...
Hawa wafugaji ni vinara wa kutangaza amani kwa wakulima kwa zaidi ya miaka 35 sasa ila maajabu yalioje wanaficha mapanga na vitu vya ncha kali kwenye makoti yao.
Wafugaji hawajali lolote kuhusu wakulima hawa,tena wameenda mbali zaidi hata kufichua mapanga yao bila kuhofia lolote kwa wakulima...
Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania
Kutengeneza kipato endelevu kwa kuwakodishia mashamba kwa wakulima ni fursa nzuri ya biashara kwa wale wanaomiliki ardhi ya kutosha hapa Tanzania.
Katika mazingira ambapo kilimo ni sekta muhimu kwa uchumi...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo
Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070
Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana
Na MWANDISHI WETU
WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani.
Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
Kuna hali mbaya inaendelea huku vijijini baada ya sheria, kanuni au amri ya kukataza wananchi wanaoenda vituo vya kuuzia mafuta na dumu au galoni wasiuziwe mafuta.
Hii sheria au amri haikuzingatia maisha halisi ya nchi masikini kama Tanzania.
Kuna mashine za kusaga nafaka, kukamua mafuta...
Jamani Wana JM.na wakulima woote.
Mm kijana mwenzenu nauza mbolea ya kuku, IPO NYINGI sana Yani NYINGI sana.
Ɓei yake ni 1000 lakini ukija na kiroba chako napunguza bei. Napatikana mbezi Luis (Makabe) karibuni sana...
Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa.
Hapa kitaa kuna jamaa yetu baada ya kutoka SUA Moja kwa Moja, alianza kujifunza kunyoa na baada ya kujua Leo hii ana...
Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno.
Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu.
Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo kidogo ili nijaribu hili Zao kwani nasikia Mchele wa Tanzania unapendwa EAC.
Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024.
Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao yao na kufanya uharibifu hivyo kusababisha hasara kwa wakulima.
Wakulima wamesema kuwa wametoa...
TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO
Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na...
Maandalizi ya Mkutano wa Wafanyabiashara wa Mifugo, Kilimo wa Tanzania na Comoro yakamilika
Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Wakulima, Wavuvi na Sanaa wa Comoro Mhe. Abdillah M’Saidie ambaye amemueleza kuwa wamekamilisha...
Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu.
Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema ni kweli mvua zilikuwa nyingi sana mwaka huu LakinI pia ziliwahi kukata kabla ya mazao Kufikia stage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.