wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Ukosefu wa mitambo ya uchakataji Mkonge yatajwa kuwa ni chagamoto kubwa kwa wakulima

    Changamoto ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo imetokana na ziara ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambao...
  2. Clark boots

    NFRA wanachelewesha malipo ya mauzo ya mahindi kwa wakulima

    Ndugu Watanzania, ikimbukwe kuwa mwezi July serikali ilitangaza kununua Mahindi kwa wakulima kupitia wakala wa hifadhi ya chakula "NFRA" ila kitu kinachoshangaza na kustaajabisha ni kuwa malipo yanachelewa sana, wakulima wanakaa zaidi ya wiki tatu hali ya kuwa fedha zilishatengwa tayari...
  3. A

    KERO Serikali isikie kilio cha wakulima wa zao la Mahindi wa Nyanda za Juu Kusini

    Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo. Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
  4. Ojuolegbha

    Rais Samia ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika ili uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi uweze kufanywa na Vyama vya Ushirika. Rais Samia ametoa agizo hilo leo katika kikao na...
  5. Mgeni wa Jiji

    TAFAKARI: Sikukuu ya wakulima 8/8 kufunikwa na mechi kati ya Simba na Yanga, je Watanzania wa leo hawahitaji tena kilimo?

    Wasalaam JF Nimejaribu kufuatilia vituo vingi vya habari na hata mazungumzo ya baadhi ya maeneo niliyopo na kushtushwa na kupotea kwa umaarufu ya sikukuu ya wakulima 8/8. Katika fuatiloa yangu nimegundua kuwa mechi ya juzi ya watani wa jadi ni kama nayo imepigilia msumari wamoto kwenye...
  6. N

    Kampuni ya sukari kilombero yawataka wakulima kuchangamkia fursa ya upanuzi wa kiwanda cha k4 katika tamasha la nane nane

    Dodoma, Tanzania – Agosti 08, 2024 – Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8 katika mikoa ya Dodoma na Morogoro. Siku ya Nane nane ni fursa kwa Kampuni hiyo kutoa elimu na kushirikiana na wakulima kwa kuonesha...
  7. realMamy

    Neema yawashukia wakulima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema serikali inatambua umuhimu wa wakulima nchini katika kuisaidia nchi kuwa na chakula cha kutosha. Rais Samia ameeleza hayo Jijini Dodoma wakati wa Kilele cha Maonesho ya NaneNane. Amesema ndio maana serikali imeamua kujenga Viwanda ikiwamo cha...
  8. Mfilipi WaTanzania

    Hatuwatendei haki wakulima hata kidogo

  9. BARD AI

    Leo ni 8/8 Sikukuu ya Wakulima Tanzania, una ujumbe gani kwa Wakulima?

    Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la Chama cha Kilimo Tanzania (TASO) na kuhusisha Taasisi, Wizara na mtu mmoja mmoja wanaoshughulika na...
  10. Inside10

    Pre GE2025 Wakulima wa korosho kumchangia Rais Samia pesa ya form urais 2025

    Vyama vikuu sita (6) vya wakulima wa mikoa minne (4) inayolima Korosho kwa wingi hapa nchini wamesema wanatarajia kutoa shilingi milioni 11 ili kumchukulia fomu Rais Samia Suluhu Hassan ya kugombea nafasi ya URais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia azindua Kampeni ya kumaliza Migogoro ya Wakulima na Wafugaji Morogoro

    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima malisho ili kuondokana na migogoro kati yao na wakulima na watumiaji wengine wa ardhi kila uchao...
  12. ILISACHA

    Wakulima wa miwa Kilombero wampinga Luhaga Mpina

    Wakulima wa Miwa katika Bonde la Mto Kilombero Mkoani Morogoro wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina na baadhi watu waliodanganya kuwa ni wawakilishi wa wakulima na kudai bei ya miwa imeporomoka na hawalipwi fedha zao kwa wakati. Hii ngoma amini usiamini maelekezo...
  13. Stephano Mgendanyi

    DED Makete Awahakikishia Wakulima wa Ngano Soko la Uhakika

    DED MAKETE AWAHAKIKISHIA WAKULIMA WA NGANO SOKO LA UHAKIKA Halmashauri ya Wilaya ya Makete Julai 23, 2024, imesafirisha Tani 32, za Ngano, ikiwa ni awamu ya Pili ya Ununuzi wa Ngano baada ya hapo awali kusafirisha kiasi cha Tani 30, ambazo zote zimenunuliwa na Kampuni ya Bakhresa iliyopo...
  14. K

    Kilio cha Wakulima wa miwa Kilombero

    Sera ya nchi yetu kwa wakulima ni KUWAWEZESHA ili wainuke kiuchumi. Wakulima wa Kilombero wamelima miwa yao, wamevuna miwa yao na hwana pa kuuzia. Viwanda vya sukari vimejaza sukari matani na matani hawana pa kuuzia kisa sukari iliyoingizwa bila KODI imetapakaa mitaani. Sukari imeagizwa...
  15. Bushmamy

    Wakulima hatarini kukosa mazao msimu huu

    Wakulima wa mahindi Kanda ya Kaskazini ambapo ni pamoja na Kilimanjaro, Arusha, na Kilindi katika mkoa wa Tanga, wapo hatarini kupata hasara katika kilimo cha mahindi kutokana na kile wanachodai mvua kukatika mapema. Wakulima hao wengi hawajui cha Kufanya hadi sasa kutokana na kuwa waliwekeza...
  16. S

    Ucheleweswaji wa malipo kwa wakulima kutoka kwa vyama vya msingi imekua kero sana baadhi ya Wilaya mkoani Ruvuma ikiwemo Tunduru

    Hi Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu. Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote. Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa...
  17. L

    SoC04 Halmashauri kuanzisha bloks farms na kuzikopesha kwa wakulima wadogo ili kufanya mapinduzi ya kilimo

    Namshukuru Mungu nami kupata nafasi ya kuchangia mawazo yangu katika kuitafuta Tanzania tuitakayo. Maoni yangu yatajikita katika mapinduzi makubwa ya kilimo Kwa maana ya ukulima wa mazao ya mashambani, ufugaji na uvuvi Kwa kuanzisha mfumo wa mashamba vitalu (blok farms) katika Kila halmashauri...
  18. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Wakulima wa Kahawa Kagera ni Shangwe Tupu, Bei ya Kahawa Imepanda

    WAKULIMA WA KAHAWA KAGERA NI SHANGWE TUPU, BEI YA KAHAWA IMEPANDA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kusimamia vyema Maono ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwainua Wakulima wa Kahawa na kuwezesha bei ya...
  19. Kidaya

    SoC04 Vituo vya kilimo vya wilaya kutatua changamoto za wakulima

    Sekta ya kilimo nchini Tanzania ni nguzo kuu ya uchumi wa taifa, ikiwa ni chanzo kikuu cha ajira. Kwa mujibu wa taarifa ya hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo 2023/2024, zaidi ya watanzania milioni 40 (65.6%) wanategemea moja kwa moja sekta hii kwa ajira. Kilimo pia kina jukumu muhimu katika...
  20. mackj

    SoC04 Serikali ianzishe ruzuku kwa wakulima wa kilimo cha samaki ili kulinda rasilimali za uvuvi kwenye maziwa na bahari nchini

    Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
Back
Top Bottom