Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote.
Nawasilisha.
Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi.
Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia maeneo ya nchi(kutokua wazalendo), huko Goma na Bukavu;
Wanatuhumiwa kumuachia adui silaha,risasi...
Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
Wakuu,
Nilishawahi kuleta uzi wa kutojua kupika way back Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka?
Jioni hii nimepika wali...nauangalia hapa naona aibu mimi...wali una mafuta huoo
Nilianza kujua kupika lakini sjui nimesahau ama ni vipi lakini kila nikipika naharibu 🙌...
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.
NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito...
Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani.
Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake.
Viongozi waliohudhuria ni...
https://www.youtube.com/live/OFc_2MInLSo?si=01-pw3HvWrVbJbkX
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ametoa maoni yake kuhusu hali ya ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akisisitiza kuwa chama hicho kilikumbwa na majeraha makubwa wakati wa kampeni za...
Mimi ni Wakiume bado ni Mwanafunzi wa chuo flani hapa Dar es salaam lakini ni nimepata kapesa kadogo .Nipo na 4.5Million nifanye biashara gani ase maaana sitaki kapotee? 😭😭
Nimekutana na hii ishu na tuko lala salama kufunga ndoa takatifu sas Leo nimebaini mwezangu ana chale kifuani, kwapani kiunoni
Nilitafakari sna kwa vile sijawai kukutana na huyu mwanamke mchna ina Usk tu ndio tunazangamuana sas wakuu hz chale zinanichanganya sna nais ni mshirikina au wazaz...
Takribani miaka miwili iliyopita niliomba mkopo bank abc na walinipatia kiasi hicho cha hela.jambo linalonipa shida ni kuwa access bank ndio wanaonikata deni Hilo ijapokuwa mim sijawahi kuchukua mkopo kwao
JamiiForums nyumba ya wajuvi , Wajuvi ninawasalimu, Niende Moja Kwa Moja kwenye lililonifanya niandike ..
Ulicope vipi baada ya kuachana na mtoto wa mamkwe..
Let's say mmedate, mmeunganisha families alafu mmecreate.. two made three ila ya Dunia mengi mmeachana ..ila unaugulia a year sasa ...
Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani.
Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu.
Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela.
Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani...
Mwenye kujua shule ya private maeneo ya kimara mpaka mbezi, kama nitajua na ada yake kwa mwaka itakuwa vizuri.
NB: shule za karibu za government nilizojaribu kuzifatilia naona mazingira sio mazuri sana , kwahiyo mtu asije na ushauri wa nimpeleke mtoto Kayumba!
Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika,
Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu, hiyo hela haitumiwi hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.