wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu. Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote. Nawasilisha.
  2. Wanajeshi wakuu kupandishwa kizimbani huko DRC

    Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi. Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia maeneo ya nchi(kutokua wazalendo), huko Goma na Bukavu; Wanatuhumiwa kumuachia adui silaha,risasi...
  3. natafuta gari kali la tsh million 60 wakuu

    kwema natafuta ndonga kali ya kuvimba nayo mjini ya tah million 60-80 mwenye nayo aweke mawasiliano au atupiemo ka picha
  4. O

    Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

    Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
  5. Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

    Wakuu, Nilishawahi kuleta uzi wa kutojua kupika way back Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka? Jioni hii nimepika wali...nauangalia hapa naona aibu mimi...wali una mafuta huoo Nilianza kujua kupika lakini sjui nimesahau ama ni vipi lakini kila nikipika naharibu 🙌...
  6. Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

    Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani. NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito...
  7. Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

    Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...
  8. Pre GE2025 Chadema yapigilia msumari masharti ya kushiriki kwao, wakisisitiza 'No reform, no election'

    https://www.youtube.com/live/OFc_2MInLSo?si=01-pw3HvWrVbJbkX Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ametoa maoni yake kuhusu hali ya ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akisisitiza kuwa chama hicho kilikumbwa na majeraha makubwa wakati wa kampeni za...
  9. Mbona kama sielewi wakuu?

    Mimi ni Wakiume bado ni Mwanafunzi wa chuo flani hapa Dar es salaam lakini ni nimepata kapesa kadogo .Nipo na 4.5Million nifanye biashara gani ase maaana sitaki kapotee? 😭😭
  10. Wakuu unaweza kuoa mwanamke mwenye chale ?

    Nimekutana na hii ishu na tuko lala salama kufunga ndoa takatifu sas Leo nimebaini mwezangu ana chale kifuani, kwapani kiunoni Nilitafakari sna kwa vile sijawai kukutana na huyu mwanamke mchna ina Usk tu ndio tunazangamuana sas wakuu hz chale zinanichanganya sna nais ni mshirikina au wazaz...
  11. L

    Nilikopa bank Abc lakini nimeshangaa Kuna bank nyingine ndio wananikata Hilo deni,hii ipo vipi wakuu

    Takribani miaka miwili iliyopita niliomba mkopo bank abc na walinipatia kiasi hicho cha hela.jambo linalonipa shida ni kuwa access bank ndio wanaonikata deni Hilo ijapokuwa mim sijawahi kuchukua mkopo kwao
  12. Coping mechanism after breakup/divorce

    JamiiForums nyumba ya wajuvi , Wajuvi ninawasalimu, Niende Moja Kwa Moja kwenye lililonifanya niandike .. Ulicope vipi baada ya kuachana na mtoto wa mamkwe.. Let's say mmedate, mmeunganisha families alafu mmecreate.. two made three ila ya Dunia mengi mmeachana ..ila unaugulia a year sasa ...
  13. Wakuu nimeamka nimekuta nina fangas wa korodani?? Nawaza ni mwanamke kaniambukiza

    Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani. Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu. Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela. Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani...
  14. Wakuu msaada shule nzuri ya private kwa primary!

    Mwenye kujua shule ya private maeneo ya kimara mpaka mbezi, kama nitajua na ada yake kwa mwaka itakuwa vizuri. NB: shule za karibu za government nilizojaribu kuzifatilia naona mazingira sio mazuri sana , kwahiyo mtu asije na ushauri wa nimpeleke mtoto Kayumba!
  15. KALIBUNI MSOSI YA USIKU WAKUU

    Kalibuni fans wangu wote
  16. C

    Changamoto ya malipo aliexpress

    Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
  17. Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

    Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu, hiyo hela haitumiwi hadi...
  18. Kuna aina ngapi za passport za kusafiria hapa Tanzania?

  19. Wakuu, kama upo maeneo ya mwanangi au nasa ginnery tafadhali naomba unishtue. Kuna ndugu yangu nataka nikuulizie maana ni miezi sasa hayupo hewani.

    Ni vizuri zaidi kama ukiwa boda boda kama sio bado pia itakuwa fresh . Karibu
  20. Hapa kuna kusoma kweli wakuu?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…