Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda ameshiriki kikao cha Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki kinacho endelea mjini Nairobi Kenya.
Makamishna Wakuu hao wamekutana kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuondoa vikwazo katika ukusanyaji wa...
Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20.
Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate change, democracy, nk.
Huu ni mkutano muhimu kwa nchi kama Tanzania ambazo zimejaliwa kuwa na...
Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai.
Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli
maana hamna ninae mdai
sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe
Iko ivi nilikopa laki 4 sehemu nilikha na kazi nayo jamaa ameniwekea amenitumia na msg ya muamala kwenda kuangalia nakuta...
Wakuu habari, laptop yangu nikiwasha inaandika Operating system not found!
TATIZO linaweza kuwa lipi na jinsi gani ya kufix Hilo TATIZO?
NAOMBA KUWASILISHA
Kamishna wa Operesheni Mafunzo wa Jeahi la Polisi CP Awadhi Juma Haji Leo Novemba 8,2024 amefunga mafunzo ya siku tano kwa Wakuu wa Polisi Wilaya zote Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo yamefanyika katika Shule ya Polisi Tanzania Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Wakati akifunga Mafunzo hayo CP...
Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa.
Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita.
Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu waliolemewa na utegemezi wa kifikra uliokithiri.
Hali hii wenda ndio imepelekea ongezeko la ukahaba...
Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo limesema, Abu Ali Rida, kamanda wa Hezbollah kwenye eneo la Baraachit, kusini mwa Lebanon "ameuawa" katika shambulizi la anga.
Jeshi la Israel limesema Rida alikuwa akiongoza shughuli za kigaidi ikiwa ni pamoja na kupanga mashambulizi yaliyowalenga wanajeshi na...
Habari wakuu, naombeni kuuliza;
Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje?
Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000.
Wakuu, habari za kazi?
Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza kwa jumla. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu katika hili tafadhali.
Asante.
Hii ina ukweli gani wakuu?
ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU
Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani.
Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka...
Wajuzi
T14 Armata
100 others
and 100 others
ILAN RAMON
Mtu asiyejulikana, anayeaminika kuwa mpelelezi kutoka nchi ya kigeni, anatuhumiwa kwa kuendesha operesheni ya upelelezi inayolenga kambi za jeshi na maeneo nyeti nchini Israel.
Operesheni hiyo ya upelelzi ilihusisha kutumia app ya Strava...
Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam,
Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani (hortculture) Kijiji kimoja huko Kilosa Morogoro.
Sasa kutokana na kazi za watu ,Imekua ngumu sana...
She my ex girlfriend for last five years.
Well katika hizi hustle za maisha nimejikuta leo niko mji anaoishi.ktk blah blah za chattings za hapa na pale leo natakiwa kulala kwake while her boy is currently huko new York kwenye mambo yao ya diplomatic mission cos the guy is working with one of...
Nipo kibaha,mwanaume 27YRS
Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu.
Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini...
Habari wakuu,
Kama ilivyo kila mtu na starehe yake, wengine pombe, mpira, wanawake, uvutaji
Muda si mrefu nilikua nipo kwenye PUBG MOBILE naplay na my teamates hadi saa saba usiku, tukiwa tunafurahia
Unakutana na marafiki munabadirishana mawazo hadi
#UZI TAYARI
#JF STATUS
#WAJINGA NDO WALIWAO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.