Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa Dar es salaam Jazz Band uliorekodiwa tarehe 8 Oktoba 1965 RTD ukisema We mtoto acha kupiga mayowe...
Habari wana JF,
Napenda nielewe kwanini walimu wa Biology na chemistry Huwa hawajijari hasa kwenye suala la mavazi.
Walimu wangu wa O-level wala hawakuwa na mda wa nguo nzuri kama walimu wa masomo mengine, A-level Sasa mda wao mwingi wako maabara, chuo kikuu ndo usiseme utadhani hawana...
Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!
Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!
ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
Toka nmepata kujitambua kila mwaka naona katika siku ya wafanyakazi dunia walumu hua ndo vimbelembele sana kuliko wafanyakazi wa kada nyingine mpaka ikafika wakati najiuliza hivi mei mosi ni siku ya walimu au nikwa wafanyakazi wote.
Ushauri kwa walimu waliopo field na sisi watarajiwa tuache...
Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Kwenye kipindi kama hiki ndio namkumbuka sana @mpwayunguvillage hasa kuhusu walimu. 😃
mwenyw aina nyingine ya tshirt za watu wazima zenye label ya keep away from fire atume ili tulinganishhe ubora
Kwa walimu watarajiwa Tanzania, ninapenda kutoa ushauri huu:
Jitume kufuzu kielimu: Kama unataka kuwa mwalimu bora, ni muhimu kufuzu kielimu kwa ngazi ya cheti, stashahada au shahada. Hii itakusaidia kuwa na ujuzi wa kutosha wa kufundisha na kuwasaidia wanafunzi wako kufikia malengo yao...
Habari zenu wakuu,
Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu.
Ni muda sasa umepita kukiwa na manung'uniko kwa walimu katika nyanja nyingi zinazohusu maslahi yao ikiwemo mishahara yao, stahiki zao na kunyima haki na kuonewa na kuchukuliwa kama watu wa shida na kila kiongozi.
Kuna haja serikali...
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.
kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui.
Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza...
Tuna vijana wengi wako wanasubiri viti vya kuzunguka na wako na Elimu zao ila ajira hakuna. Na waliomaliza 4 wakaenda chuo 2 years wako na kazi wanazidi kula shavu.
Mwenye degree anaona upuuzi kuwa Mwalimu, vijana elimu zenu ziko na maana gani sasa - ni wazo lakini.
Nawasalimia
Kuna jambo leo limeniumiza mno moyo na kichwa changu kwa mawazo
Kisa kipo hivi
Leo kwetu huku ni mvua tangu jana usiku, kulipokucha nilimwandaa mwanangu kwenda shule, sio mbali na eneo tunaloishi. Baada ya kuona muda unaenda mtoto harudi ndio nikakumbuka mvua imesababisha...
Hope ni wazima Wana Jf
Katika kila kundi la wanawake 10,lazima ukute wanawake 5 au 6 washawahi kufanyiwa sexual abuse na walimu wa kiume,Kuna shule sitaitaja nilisoma o level Kuna teacher wa English na alikuwa second master alikuwa na michezo michafu anakuita ofisini kwake Mara akushike shike...
Watajwa hapo juu, Deus Seif aliyekuwa Katibu Mkuu wa CWT na Abubakari Alawi aliyekuwa mwekahazina wa taifa wa CWT mnamo tarehe 28 Juni 2022 walitiwa hatiani na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi, Uchepushaji wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hali...
Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha .
Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa Lockup na manyanyaso walimu wanayoyapata kutoka kwa afisaelimu (Ngonyani) hadi hapo atakapohamishwa...
HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi
Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama
Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.