Maslahi yangu: Mimi ni mwalimu kwa kusomea.
Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo.
Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana...
Hiyo ni kwa mujibu wa uchunguzi wangu, nawe unaweza kufanya hapo ulipo. Walimu wengi ni watu fulani wasio na stress zilizopitiliza nazungumzia wengi, sijakataa wapo wachache.
Utawakuta wakiwa na furaha muda mwingi sana. Sijui kuna uhusiano na ukaribu wa watoto?
Wanadumu mnoooo baada ya kustaafu...
Time is too short, siku si nyingi sikukuu ya wafanyakazi inakuja. Je wewe kama mwalimu umejiandaaje? Umejiiandaa kuwa Chawa wa mama ili umsaidie ushindi 2025 kwenye box la kura au umejipanga kufanya harakati zenye Nia ya kumkomboa mwalimu kutoka kwenye ufukara wa kutia aibu.
Naomba tuende Sawa...
Ni kweli ukatili upo mashuleni, wanafunzi wanapewa adhabu zisioendana na umri wao.
Nilichokuona ni kwamba walimu wengi wana psychological disoder ambayo inatokana na changamoto za kiutumishi. Matokeo yake anashusha hasira zake kwa mwanafunzi.
Utakuta mwalimu anakrupiwa na mkuu wa shule mbele...
Zamani nilikuwa najua kuwa walimu ni kioo Cha jamii,kumbe nilikuwa najidanganya huenda ni kwasababu nilikuwa mtoto kipindi hicho au kwasababu walikuwa watu wa karibu yangu kwasababu nilikuwa mwanafunzi na niliwachukulia kama watu waliofanikiwa zaidi katika jamii.
Leo nashuhudia mengi kutoka...
Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi.
Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani? Hivi kufanya mitihani kila mara ni...
Mimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote.
Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki...
Mkurugenzi wa Halmshauri ya Ifakara ameandikia Barua Walimu wa shule kutaka walipe mchango wa kufanikisha shughuli za Mwenge. TAMISEMI mmeagiza Halmshauri kufanya hivi? Huo Mwenge hauna bajeti? Mbona hamna huruma na walimu nchi hii? Barua hii ibatilishwe, fedha zirudishwe kwa walimu.
Na hii sio...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Kila mwaka kumekuwa na madai ya walimu kuchangia katika michango mbalimbali ya shughuli za kiserikali kwa ushurutishwaji hasa na wakurugenzi wa Halamashauri ama manaibu wakurugenzi.
Moja wapo ya kilio cha muda mrefu kwa walimu ni hii kero ya Michango ya...
Nimekaa nimewaza sana sipati majibu iweje Mwanaume kamili anawaza kua upande wa pili?..Nina marafiki wa kike kama watatu kwa nyakati tofauti nilisikia wakisema wanatamani wangezaliwa wa kiume, maana mambo yanayowakuta ni mazito.
Imagine bwana mpwayungu sasahivi na hii mvua ungekua umechora saba...
Enyi Watanzania hadi lini mtadharau walimu?
Walimu Hawa wanao fundisha watoto wenu Kila siku mnawaona kama maskini, roho yangu inauma sana.
Hii dhambi ya baadhi ya wapumbavu na wajinga kudharau maisha na maslah ya walimu kuwa ni madogo ni laana kwa taifa hili.
Huyu jamaa anajiita mpwayungu village anakera sana, Iv wewe Mpwayungu village Unajua shida na tabu za ma nesi, na watu wenye taaluma mbalimbali ambao ni watumishi wa serikali?
Lakn umekuwa mtu wa ajabu sana unadharau walimu na kuwaona kama wao ni wajinga. Acha mara moja hii tabia yako mbaya. Na...
Kalenda ya mihula ya shule kwa mwaka huu 2023 haieleweki Kuna isyosema kufungua ni 17/4/2023 na nyingine 11/4/2023 ipi Iko sahihi? Walimu tusaidieni maana Kuna mipango ya kifamilia inaharibika kwasababu ya hizo ratiba mbili! Aione mpwayungu village
Yuko kijana mvulana alizua vurugu shuleni kujaribu kumpiga mwalimu. Mwalimu akaamua kuita wenzake kijana alipigwa na walimu watatu. Niliona ni bora kwa vile alikua amekosa nidhamu. Lakini wako baadhi ya watu walikua wakimtetea kijana huyo
SHULE BORA ni mradi wa Serikali ya Tanzania unaofadhiliwa na Serikali ya Uingereza kupitia Shirika lake la Maendeleo la UKAID wenye lengo la kukuza na kuboresha ufundishaji na ujifunzaji shuleni ili kuboresha Elimu na kuhakikisha watoto wote wa Kitanzania wa kike na wa kiume wanapata elimu bora...
Changamoto ni nyingi lakini hiyo ya mishahara midogo haisikiki? Ni wimbo wa miaka mingi sana.
Baada ya sera ya elimu bure wazazi hata kununua uniform ni kazi.
Kuwalipia watoto chakula imekuwa ngumu.
Serikali inashindwaje kuwapa walimu usafiri,waachane na Mambo ya bodaboda kila wkt (kama vipi...
Habari.
Kwasasa dunia inafanya mapitio ya mitaala ya kufundshia/kujifunza huko mashuleni, huku swala la elimu za walimu ambao ndio wadau wa mitaala hiyo likiwa gizani. Kwa mfano, kwa Tanzania muundo wa kiutumishi wa walimu wa shule za msingi na sekondari unaanzia elimu ya cheti hadi shahada ya...
Leo hii tarehe 16 Machi 2023 Wapiga dili Deus Seif na Abubakari Alawi wamefanikisha kuzuia mambo kadhaa kufanyika kwenye mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania.
Kama ambavyo tumebainisha hapo awali juu ya dhamira yao ya kurudi madarakani na kuendelea kufanya ubadhirifu ndani ya chama cha...
Chama cha walimu Tanzania kinafanya mkutano wake mkuu tarehe 17 Machi 2023 Jijini Tanga haya yakiwa ni maamuzi ya mkutano mkuu wa kikatiba uliofanyika Disemba 2022. Pamoja na mambo mengine lengo ni kumchagua naibu katibu mkuu baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu Japhet Maganga kupandishwa ngazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.