walimu

  1. Serikali iwapandishe madaraja Walimu wenye Shahada ya Pili (Masters Degree) mara tu baada ya kumaliza masomo yao

    Ni miaka mingi Sasa walimu Hawa wenye Shahada ya Pili ya ualimu na wale wenye PhD ya ualimu, wamekuwa hawapati ongezeko lolote la mshahara mara baada ya kumaliza elimu zao za juu, tofauti na ilivyo kwenye idara zingine Kama afya nk. Ambapo Shahada ya Pili huwa inatambuliwa. Ombi: TUNAOMBA...
  2. CWT na dhambi ya Walimu walioajiriwa 2013, dhidi ya Serikari ya Magufuli na Mama Samia

    Evil does not pay, leo imebainika wazi CWT ni agent wa CCM, hata kama mlioteuliwa mmegoma kuapa ila mmeumiza watu sana na walimu wanaodhalilishwa kwa kufungishwa mikataba ya hovyo. • Mh Rais huyu mama alisifiwa sana na JPM, hata kumteua tu umempa neshima sana, lakini ni miongoni mwa watu ambao...
  3. Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  4. Walimu wa Taifa Secondary watanyanyaswa sana na wakubwa wao wa kazi

    Kwa matokeo waliyoyapata katika mtihani wa taifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa leo, natabiri walimu wa shule hiyo watanyanyaswa mno na wakubwa wao wa kazi. Yaani watafokewa kuanzia na wazazi,diwani wa kata yao, mbunge, afisa elimu kata, afisa elimu wa wilaya, afisa elimu wa mkoa, wizara za...
  5. Sera mpya ya Elimu inayoandaliwa haishiriki Wadau Muhimu (Walimu, Wazazi, wanafunzi)

    Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma, 1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje. Mfano, Mwaka jana 2022...
  6. Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika...
  7. S

    Shule ya sekondari Uraki Halmashauri ya Meru mkoani Arusha yenye wanafunzi chini ya 400 ina walimu kama 50

    Shule tajwa hapo juu ina wanafunzi chini ya 400 lakini ina walimu wanaofikia 50 kiasi wengine wanakosa vipindi vya kufundisha. Mkurugenzi yupo anafahamu yote haya walimu wako busy na biashara zao maeneo ya Arusha mjini, ktk miji midogo ya Usa-River na Tengeru. Wakati hali ikiwa hivi ktkt shule...
  8. Kisa Cha kuchekesha kuhusu roho mbaya za walimu wa kibongo

    Wasaalam.. Aisee imepita miaka kipindi npo 1st year udsm Kuna course ya hesabu MT sijui ngapi nimesahau code tulikua tunafundishwa na mkorea mmoja Mambo yakawa yanaenda fresh mpaka siku kesho yake tunafanya test 1, tupo kwenye pindi jamaa akamaliza akaanza kupitia notes zake kwenye projectile...
  9. Kwahiyo tumewahamishia Shule nyingine Walimu waliokuwa wakichekelea kupigwa Mwanafunzi ili wakacheke zaidi huko?

    Je, hawa Walimu waliokuwa Wakichekelea Mwalimu Mkuu alipokuwa akimuadhibu Kikatili Mwanafunzi angekufa bado wangeendelea Kucheka? Kwanini mmewahamisha Shule nyingine na siyo Kuwafukuza kabisa Kazi? Wao Wana tofauti gani na Mwalimu Mkuu aliyekuwa akimchampa huyo Mwanafunzi? Hovyo kabisa.
  10. Kazi za ovyo kwenye nchi hii

    Assalaam aleykum, Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu. Kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiriwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria, hakuna marupurupu, mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana. 1. ASKARI...
  11. Serikali iache kuwadhalilisha walimu kwa kugawa vishkwambi, waboreshe maslahi yao ili wanunue wenyewe!

    Serikali ya CCM Acheni kutudhalilisha makada waaminifu kama sisi KWA hoja za hovyo zisizo na afya KWA Taifa! Hivi mnafikiri vishkwambi KWA walimu;- 1.Vitaongeza maslahi yao ya kazi!? 2.vitawapa unafuu wa mfumuko wa bei ya chakula na mahitaji mengine!? 3.vitawapandisha madaraja wale...
  12. CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
  13. B

    CCM yatoa wiki moja Walimu wote wapate vishikwambi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  14. Vishkwambi sita kwa walimu zaidi ya 20, nini maana yake?

    Inawezekana ni kweli wana nia ya dhati kuwawezesha walimu katika TEHAMA, lakini kwa ugawaji huu haitasababisha mgawanyiko au upendeleo? Naona shule x leo wamegawiwa walimu watano na mkuu wa shule! Je, ni sawa?
  15. Walimu vishikwambi achaneni navyo jikiteni kwenye allowances tu msichomoke zaidi ya hapa

    Walimu wanakimbizana na kupigana maofisini kwenye mgao wa vishikwambi vya sensa nakuanza kulialia kuwa wanaonewa. This is bullshit yani serikali hii inawaona walimu kama primitive generation ndio maana kwenye shughuli ndogondogo na vimgao vya hovyo wanapewa wao ila sio big agenda kama maposho...
  16. Walimu: Kuna Readings za Namna Hii Kwenye Vifaa Mnavyofundishia?

    Zoezi linajieleza: Nimeshitushwa na numbering kwenye thermometer ya swali walilopewa watoto wa jirani yangu kama homework
  17. D

    Kero ya Walimu msingi kudai michango mingi; ni makubaliano ya kikao feki cha wazazi feki

    Shule nyingi za msingi za serikali siku hizi zimejaa michango mingi sana ambayo inaleta matabaka kwa watoto! Walimu wanachangisha hela ya mitihani kila siku 1000. Ndoo mpya kila term, Fagio jipya kila mwezi, Hela ya safari (tour) kwa mgongo wa hiari huku nyuma wanawapiga mkwara watoto kwenda...
  18. W

    Ila mambo mengine bwana, sasa kuwalazimisha walimu waandike maazimio ya kazi (schemes of work) kwa mkono ndo nini? Inaongeza ufaulu?

    Sijawajua vizuri sana viongozi wa kada zingine, lakini nadiriki kusema hawa wanaopanda ngazi na kuwa viongozi wa walimu hubadilika na kuwa na roho ngumu sana! Katika karne hii ya sayansi na teknolojia, kizazi hiki cha computers ambapo hata vishikwambi vimeanza kufikiriwa kugaiwa kwa kila...
  19. Hili la vishikwambi Serikali inajiletea mtafaruku usio na sababu kwa Walimu

    Tarehe 4/11/2022 Waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na alisema vishikwambi vitolewe Kwa walimu WOTE nchini! Lakini kwasasa Hali ni tofauti Kila halmashauri imekuwa na Utaratibu wake, Wapo wanaotoa Kwa walimu wote na wengine wanatoa Kwa walimu baadhi Tu! Mimi nishauri...
  20. N

    Walimu wapewa Vishikwambi kwa kubaguliwa

    Baada ya zoezi la sensa na makazi kumalizika, Serikali ilitangaza nia njema ya kugawa vishikwambi vilivyokuwa vinatumika katika zoezi hilo kwa kila mwalimu wa shule ya Serikali wa shule ya msingi, sekondari na vyuoni hapa nchini. Zoezi Hilo limeshaanza kutekelezwa ila likiwa na sura nyingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…