wallet

A wallet is a small, flat case or pouch that can be used to carry such small personal items as paper currency, credit cards, and identification documents (driver's license, identification card, club card, etc.), photographs, transit pass, business cards and other paper or laminated cards. Wallets are generally made of leather or fabrics, and they are usually pocket-sized and foldable.
Wallets may have characteristics such as money clips; a coin purse; a chain fastener, strap, or rein; or a zipper. Specialized wallets are designed for holding passports, wearable ID cards, and checkbooks to give some examples. Some unusual wallets are worn on the wrist or shoe. In addition to their practical function, wallets may be used as a fashion accessory, or to demonstrate the style, wealth, or status of the owner.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Kila nikilewa mke wangu anasearch kwenye wallet yangu

    Hii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana! Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu. Your Sincerely, Gwego.
  2. Nilidondoshaga wallet bar. Sijui barmaid au mwanamke gani akaiokota, alichofanya Mungu anajua

    Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza. Nikasepa, akapita nayo huyo aidha barmaid au mwanamke kwa sababu iliokotwa kwenye dust bin chooni kwa...
  3. Kwanini Cold Wallet ni Muhimu kwa Usalama wa Crypto??

    Katika mji wa kisasa wa Nairobi, Anna, msichana mwenye bidii na mpenzi wa teknolojia, aliingia rasmi kwenye ulimwengu wa sarafu za kidijitali unaojulikana kama cryptocurrency. Alikuwa amesikia hadithi nyingi za watu waliofanikiwa kwa kutumia Bitcoin na alihamasishwa na uhuru uliokuja na...
  4. Mtanzania wa kawaida kwa Sasa wallet yake inaweza kuwa na vitambulisho zaidi ya kumi

    Wingi wa vitambulisho inatoa tafsiri gani? Mimi kama BabaMorgan hii ndio list ya vitambulisho nilivyonavyo. 1. Nida 2. Driving license 3. Vote Id 4. Kitambulisho Cha kazi(ofisini) 5. Kitambulisho Cha kazi(TPA) 6. Kitambulisho Cha kazi(Terminal 2) 7. Kitambulisho Cha kazi (Taffa) 8. CRDB ATM...
  5. Baada ya localbitcoin kufungiwa upi ni mbadala wa wallet yenye kuendana na hiyo...?

    Kichwa cha habari kinajitosheleza...
  6. Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

    Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano. Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga. Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet...
  7. Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

    Habari wadau. Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank. Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. . Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
  8. INAUZWA Nauza Saa na Wallet

    Nauza saa English Gold hazipauki haraka na wallet zenye ubora mkubwa Nafanya delivery dsm na mikoani Bei: Saa 35,000/= Wallet 25,000/= Location: Mbezi, Kimara Contact: 0626903619
  9. Wallet ya Remitano watoa zawadi ya $5 kwa Watanzania wanao support biashara yao

    Kila mara Remitano imekuwa ikithamini na kushukuru watumiaji wake waaminifu na wanao support bidhaa na huduma zao, hasa wale wanaopendekeza bidhaa na huduma zao kwa marafiki. Kwa kutambua hilo Remitano wamekuja na zawadi kwa Watanzania kwa kila mtumiaji mpya utakayemualika na akakamilisha...
  10. Usiogope tambua heshima Pesa ionekane kwenye wallet yako: Fuatilia mkasa wote

    Habari JF family! Gawiza? Story hii inamixer zote uwe mvumilivu. Way back mwaka 2012-2013, hii miaka sikuwa na gari kabisa ila already nilikuwa na viwanja si haba kimara bonyokwa 40x50, Mapinga bagamoyo eka moja na nusu eka, Mpiji magoe sio mbali na Dr. Mvungi R.I.P mwamba, eka moja, CCM chama...
  11. R

    Kwa wajuzi wa Metamask wallet tafadhali

    Habari Wakuu, Huu uzi nilitaka niupost kule kwenye jukwaa la teknolojia lakini post nyingi ninazopost kule response inakuwa ndogo. Nadhani hapa ndio kuna audience kubwa. Natumia digital wallet ya Metamask lakini Nina token ambayo inaonyesha value ya approximately $12 lakini kwenye etherscan...
  12. Pesa yako kwenye wallet ni kwa ajili gani?

    Pesa yako ya kwenye wallet ina matumizi gani? Je ni pesa yako tu ya akiba umeamua utembee nayo ama ni ya dharura,
  13. Fahamu madhara ya kukaa kitako na Wallet yako ikiwa mfuko wa nyuma

    Wazee wa Pochi NENE mpo? Wavulana wengi wana tabia ya kuweka mkoba (WALLET) yenye inchi nusu au zaidi ikitegemeana na wingi wa vitu vilivyopo kwenye mkoba huo kwenye mfuko wao wa nyuma wa nyonga ambao unaweza kuleta maumivu ya mgongo, kiuno, misuli, mifupa na mbali zaidi kuleta madhara kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…