Gari linaweza kukunyima amani, Ni tatizo gani lilikufanya ushinde sana magerejini na kuingia gharama mara kwa mara ?

Gari linaweza kukunyima amani, Ni tatizo gani lilikufanya ushinde sana magerejini na kuingia gharama mara kwa mara ?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
1750453366479.png

Mkisikia magari yanaweza kosesha amani mtu muyasikiage tu ombeeni yasiwakute 😂

Uliwahi kuteswa na tatizo gani kwenye gari lililokufanya upoteze muda na pesa kwa mafundi, magarejini, spea, n.k.

Na muhimu zaidi uliwezaje kulitatua baadaya kuhangaika sana ?
 
Mkuu achana na mafundi ramli kama unatumia gari isiyo brand ya Toyota.
 
BMW X3 ilivyoanza kulalamika nilichukua BMW X5.

BMW X5 kabla haijaanza kulalamika nikachukua Mercedes Benz GLE 450 4 Matic iisaidie kazi.

Ukiwa unabadilisha gari na kufanyia service vizuri ni vigumu gari kukusumbua.
Gari zako hazitaki ramli mkuu kama utazitunza vizuri mjukuu anakuja kuendesha
 
Nunua hii kitu, ili ukiwa unaenda kwa mafundi unawaambia kabisa gari ina shida hii rekebisha, ili wasikuletee longongo maana wengi wanabahatisha....

View attachment 3377209
Upo sahihi kabisa, Ila ndo umepima umepata mojawapo ya code kama hizi

p0011 mpaka p0021, p0171 mpaka p0174, p0300, p0190 mpaka p0193 na zingine kama hizo…

Nakuapia hiyo mashine yako utaificha hata fundi wako asijue kama unayo….
 
Mpaka nimeamua kuwa na OBD scanner maana yake ninajua ninachokifanya....fundi maiko hali hela yangu kizembe kwa kuzungazuga
hizo code ECU au ECM
Hii mimi natumia mwenyewe na nimeshabadilisha mwenyewe Camshaft na Crankshaft sensor na pia ignition coil mara kibao na kitu kikaita ,
Na kuna wakati mwingine uki futa hizo error kitu kinaita, halafu ndio unakuta fundi maiko anakuchaji hela ndefu kufuta hizo error
Zaidi ya hapo ni iwe ECU/ECM iwe imekufa, na hapo fundi wa mitaani hawana ujanja zaidi ya kuulia hela kama ukishtukia ni hilo tatizo unapeleka kwa sehemu ya maana sababu hapo inatakiwa ku code ECU nyingine ifanye kazi na gari yako
 
BMW X3 ilivyoanza kulalamika nilichukua BMW X5.

BMW X5 kabla haijaanza kulalamika nikaiongezea Mercedes Benz GLE 450 4MATIC iisaidie kazi.

Ukiwa unabadilisha gari na kufanyia service vizuri ni vigumu gari kukusumbua.
BMW sitaki ata kuzisikia
 
Mmmj nilitumia Toyota (Kluger) ile gari ilikuwa inamaliza tairi kila baada ya mwezi...badilisha sana gereji na ilinila hela ndefu mpaka gari nikalileta gereji za Dar
Tatizo lilokuwa nini mkuu? Au lilipona Kwa ramli.
 
Back
Top Bottom