Gari linaweza kukunyima amani, Ni tatizo gani lilikufanya ushinde sana magerejini na kuingia gharama mara kwa mara ?

Gari linaweza kukunyima amani, Ni tatizo gani lilikufanya ushinde sana magerejini na kuingia gharama mara kwa mara ?

Mmmj nilitumia Toyota (Kluger) ile gari ilikuwa inamaliza tairi kila baada ya mwezi...badilisha sana gereji na ilinila hela ndefu mpaka gari nikalileta gereji za Dar
Mmh kila baada ya mwezi tyre zinaisha?
 
Kwa nini mkuu?

Uko wapi?

Ulikuwa na BMW gani? Uliipata ikiwa na km ngapi? Service ulikuwa unaifanyia wapi na kwa ratiba gani?
Dar mkali.

BMW 3 series E90, 323i ya 2009 (zile 6 cylinders), M Sport package.

Service zote kwa kijana mmoja alikua amejikita kwenye BMW, anaitwa Aziziumeme.

Matatizo madogo madogo mengi ila kubwa ni cooling system (pump na thermostat nimebadirisha jumla 3), coils out of 6 nilibadirisha 2, suspension, nk.

Kuna hii time niliua sample (sample yake ya plastic) nikamwaga ATF yote na marekebisho yote aisee
 
View attachment 3377208

Mkisikia magari yanaweza kosesha amani mtu muyasikiage tu ombeeni yasiwakute 😂

Uliwahi kuteswa na tatizo gani kwenye gari lililokufanya upoteze muda na pesa kwa mafundi, magarejini, spea, n.k.

Na muhimu zaidi uliwezaje kulitatua baadaya kuhangaika sana ?
Mm yangu subaru impreza model 2010. Diagnosis inasoma code 0011 camshaft position system performance…
Huwa inawaka check engine some time inazima. Mafundi Juma wanakula tuu hela yng,
 
Upo sahihi kabisa, Ila ndo umepima umepata mojawapo ya code kama hizi

p0011 mpaka p0021, p0171 mpaka p0174, p0300, p0190 mpaka p0193 na zingine kama hizo…

Nakuapia hiyo mashine yako utaificha hata fundi wako asijue kama unayo….
🤣🤣🤣
 
Hao mnaoita wapiga ramli, ndio wanao tengeneza gari zilizoshindikana magereji yenye majina makubwa na kila kifaa
 
Back
Top Bottom