blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,774
- 9,913
Mabosi wangu wanataka kunilipa pesa ila nimeambiwa wataniwekea kwenye mobile wallet kwa mjuzi hii imekaaje?
Kwahiyo ukiwekewa pesa inaingia kwenye sim card? Au inakuwaje mkuuDah.
Mobile Wallet = Mpesa, Tigo Pesa nk.
Kimataifa mfano Paypal, GooglePay, ApplePay nk.
Ebu kwanza. Matajiri wako wako wapi? Nje au?Kwahiyo ukiwekewa pesa inaingia kwenye sim card? Au inakuwaje mkuu
Wapo nje mkuuEbu kwanza. Matajiri wako wako wapi? Nje au?
Za Kimataifa zote zinaingiliana na card ya bank (visa/mastercard)
Una account bank gani?Wapo nje mkuu
Nilitaka niseme kitu ila basi ngoja nipite hiviWapo nje mkuu
Uliza swali moja tu: Je watatumia njia ipi ya malipo (wao) kutuma fedha?kwenye mobile wallet