Ungemuona kijana Kulwa Makasi kwa mbali ungeweza kudhani ni kijana mwenye furaha.
Hujitahidi kumkaribisha mteja kwa bashasha japokuwa, tofauti na wenzake, angekuwa amekaa ndani ya kijibanda chake anamouzia viatu.
Kijibanda hicho kilikuwa kimepangiliwa vizuri na kwa unadhifu mkubwa,kama...